Leo ndiyo Tarehe waliotuahidi helsb ya kukata rufaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ndiyo Tarehe waliotuahidi helsb ya kukata rufaa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makbel, Oct 1, 2012.

 1. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wadau Bodi ya mikopo kwenye matangazo yao pale ofisini walisema siku ya leo tarehe 1 October wataweka maelezo jinsi ya kukata rufaa kwa waliokosa mikopo. Lakini mpaka muda huu kwenye tovuti yao hakuna jipya lolote. Je, tufanye njia gani ili tukate hiyo rufaa?
   
 2. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama unahisi umeonewa nenda mahakamani
   
 3. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu unapaswa kuwa na uvumilivu kwa sababu leo haijaisha usitoe lawam pasipo kuwa mchambuzi wa kina kwa kila ukitacho kufanya maana haya mambo yana milolongo yake mkuu

   
 4. dionece

  dionece Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa kutukumbusha sasa mchakato uko vipi au tunaenda bodi
   
 5. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,824
  Trophy Points: 280
  Huyu mwenzako analeta jambo la msingi ,wewe unamdhihaki. Amekosa mkopo, meaning kama yuko kama mimi hakuna shule hapo. Acha dhihaka kwa mambo ya msingi. Mpe ushauri au nyamaza tu.
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mh.....
   
 7. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tahaira si mpaka uokote makopo!
   
 8. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kaka wengine wana matatizo ya akili humu. Twende nao taratibu!
   
 9. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu unanitafutia ban km huna la maana kaa kimya
   
 10. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  waswahili wanasema busara ni kukaa kimya
   
 11. k

  kigoma ndio kwetu New Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya bana kawaida ya binadam hua hatukumbuki nyuma leo kutu watu wanatoa kauli za ajabu sna kisa wao wamepata loan!!! ushauri kwa wenzangu km loan imekosekana na uwezo wa home ni km wa kwangu yaani tiamaji tiaji airisha mwaka tuuu!!! vyuo vpo!!!
   
Loading...