Jamani wa SAUT na wengine kwa hili nisaidieni plz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wa SAUT na wengine kwa hili nisaidieni plz.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Safhat, Oct 2, 2012.

 1. S

  Safhat JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi deadline ya kuripoti kwa first year SAUT ni lini?
  Maana mm nilichaguliwa uko bila ya kujua na mkopo wng umepelekwa uko uko.na kwa sasa nishalipia cost zte za udom, uku nasubr tcu watangaze majina ya waliohamishiwa vyuo.
  Sasa km sitokuwemo ktk majina hayo nataka nirud SAUT ivi itawezekana?na udom wanaweza kunirudishia pesa zangu?
  Naomben mnisaidie wanajf.
   
 2. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inamaana ulilipa udom bila kuona kama uko adm pale au vp ? Ebu funguka vzur
   
 3. S

  Safhat JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udom pia nlikua admitted na ndio nloiyona kwny profile yng na kuanza kufatilia process zke za kujiunga,admission nk. saut nimejua baada ya kutoka mkpo.na ivo saut hawakunletea ata admissiƶn.ila bada ya kutoka mikopo kuangalia jina langu limo.ndo apo nkachangankiwa coz nlishalipia ada ya udom.
  Umenipata apo?
   
 4. s

  sac-sas New Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa udom uwezekano wa kurudishiwa hela zako upoo ila utasumbuka sana but you may try your best! ila kama utakuja itakubidi usubiri mpaka wanafunzi wote wamalize usajili than u may com

  na cha kuongezea kama utaamua kwenda udom na mkopo uko saut utapata tabu kwa muda usiojulikana coz process za kuhamisha mkopo ni ndefu au kama nini anza kutoka mbio sasa ivi kabla ya kufika chuoni
   
 5. S

  Safhat JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa mkuu unanshaurh nin?
   
Loading...