Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi vyuo vikuu kutokuwa na uniformity ya ufundishaji na kupelekea kutofautiana katika course, mfano, programme flani kuwa na idadi tofauti za course kwa vyuo tofauti, ina maana hakuna chimbuko rasmi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/= Simu ina camera 0.3 megapixels, EDGE class 32, Bluetooth, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091
0 Reactions
0 Replies
949 Views
kama kuna member hum ana soft copy ya vitabu vya musiba kama vle njama, kikosi cha kisasi, hofu nk anidumbukizie humu
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Kama wastani wa ufaulu hautashushwa hadi 21. basi tungojee disaster kubwa, kuna shule zitakuwa na wanafunz 7 tu kidato cha tatu! mwakani.
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Naomba mwenye title nzuri ya project ya umeme anitumie.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Hafsa Golo SERIKALI ya Oman inatarajia kujenga kituo cha kisasa cha kiislamu Zanzibar ambapo ndani yake kitakuwa na msikiti mkubwa, madarasa sita, chumba cha kompyuta na maabara. Balozi Mdogo wa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Hivi hakunaga elimu ya juu kwa mambo ya usalama wa raia? Naona polisi wote wakishamaliza chuo chao cha Moshi wakitaka kusoma zaidi wanasomea vitu vingine kabisa eti Bachelor of Art in History????????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nisaidieni maana kuna mheshimiwa mmoja namdai ss haeleweki kabisa sijui tatizo nn maana anadai eti mshahara bado? kama kuna mwalimu hapa hebu anisaidie approval hii ishu!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi wadau wa JamiiForum,Wengi wetu tuliopita UDSM faculty of Engineering then pCET then COET now CoICT mtakuwa mnamfahama huyu mheshimiwa sana Dr. Haule, he was a Telecommunications/Electronics...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Najiuliza, hawa ndugu zetu waheshimiwa mbona hatuwasikii mkitetea wananchi wenu? Inawezekanaje mpaka leo tar 37 watu hawajalipwa na mmekaa kimya? au kwakuwa posho zenu zinaflow kama kawaida? na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
06/11/2012 Serikali wilayani Bagamoyo leo imetangaza kuifunga Shule ya Sekondari Bagamoyo maarufu kama Magambani kwa muda usiojulikana kutokana na madai ya kuzuka ghasia za kidini. Kwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama ni vurugu kuwepo nchini mwetu, basi ipo secta ya elimu nchi, tangu nilipokuwa secondary chini ya waziri mungai, sera na mabadiliko ya ufaulu yalikuwa kitu cha kawaida,kiongozi kuamka leo na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Why Tanzania is experiencing a difficult in tax collections as well as identification of the Tanzania community needs including the the right to access and own land leaving our National economy to...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Applications are therefore invited from qualified candidates for scholarships to pursue Master of Science in Petroleum Engineering and Petroleum Geosciences (2012-2014). The scholarship...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu, napenda kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa ya boom hapa UDOM atujuze imekaaje, maana wiki ya pili inakatika hii wakati hata dalili hakuna, na hali inazidi kuwa mbaya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Prof SHABAN MLACHA (profesa wa kiswahili) anatajwa kua mtu anaye vuruga chuo kikuu cha dodoma (UDOM). Yeye naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, PESA, na utawala lakin inasemekana ndiye...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Jaman 1st year tayar boom limetema so kuweni makini na wadada wa moshi coz walisubiria kwa hamu sana boom hili wajitongozeshe kwenu,pls someni kwa aman mtumie pesa kama yalivyomalengo ya helsb,gud...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wanafunzi wa shule ya secondary Bagamoyo wamefunga shule kwa muda usiojulikana,,, chanzo kikubwa ni suala la udini", ukristo uisilam"
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sana umepita tangu nisikie kuwa kuna mchakato wa kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo hapa Tz. Je mchakato huo bado upo? Na kama upo kuna...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
kama kuna aliyekuwa na taarifa yeyote atupe taarifa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…