Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna faida za nchi kama Tanzania kupewa misaada ya kimaendeleo? Tafadhali kama unaona kwamba kuna faida au hasara weka maoni yako hapo. Asante
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwalimu masomo ya Arts ni Degree holder BAED GPA 3.4 UDSM .Nafundisha History,Civics na General studies. Nimefundisha miaka miwili hila kwa sasa nataka kufundisha private schools.Mwenye kujua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
1 Reactions
36 Replies
3K Views
hatimaye yale majina yaliyokuwa yanasubiriwa kwa hamu kutoka kwnye screening comittee yametoka huku ile post ya mchuano mkali ya uraisi yakitoa majina matatu kati ya yale tisa yaliyoingizwa kwnye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
yapata mwezi sasa tangu wanafunzi walokua hawana mkopo na kukubaliwa kupewa mkopo walipo ambiwa wapeleke acount number zao mpaka leo hawaja pewa pesa zao na maisha yamekua magumu kwao, sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa Raisi Wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Idd Mohammed (Wa Sita kutoka Kulia Waliokaa Kwenye Viti) Alipokuwa Kwenye moja ya Kampeni zake za Kuwania Kiti Cha Uraisi Mwaka Jana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
what are the impoirtaces of foreign aids to a country like tanzania?
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Dear Comrades, THANDA AND THANDO This two names seems to confuse comrades on JF For reality, these are two different people in one family. Thanda is married to Thando. In other words, Thando...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
MKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAMU WA SHULE YA SEKONDARI TAMBAZAby JOHN BUKUKU on JANUARY 5, 2013 in JAMII with NO...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), kilichopo jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ofisi ya serikali ya wanafunzi kupinga tangazo lililobandikwa chuoni hapo linalowataka kuanzia...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Wengi wetu tumekuwa tukifikiri kuwa asili ya mtu mweusi ni Afrika tu, na tumekuwa tukidhani kuwa popote umwonapo mtu mweusi basi asili yake ni Afrika, lakini kuna watu wa maeneo mengine ambapo...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu, Naomba kwa anayefahamu anisaidie kutafsiri maana ya transaction codes zifuatazo kwenye Customer statement za Tanesco ZBFS - OLC - LPP - Bill - Hii nafikiri ni bill ya matumizi ya umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu watatu (3), walinunua mikate, mmoja alinunua mikate mitano (5) na mwinginee mitatu (3) jumla wakawa na mikate minane (8), na mwenzao wa tatu yeye hakununua chochote...! Wote watatu, wakala...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
habari wanaJF, naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
can you propound??????????
0 Reactions
0 Replies
717 Views
jamani hivi ni kweli?????
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kama kuna mtu angependa kujua njia ya kuweza kuwasiliana na mtu kwa kuongea bila gharama yoyote , basi anaweza kujiunga na skype. kujiounga type www.skype.com na fuata malekezo yatakayofuatia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ningependa kuiweka hii topic kihivyo kwasababu mimi ni mgeni kidogo hivyo basi sijajua kama hii topic imewahi kugusiwa huko nyuma ama la. kimsingi nataka nipate maoni yenu wasomi na waalim na...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF, Naomba mnisaidie kunijulisha jinsi gani nitapata matokeo ya kidato cha pili mwaka 2011, nasikia yametoka najitahidi kutafuta ili niangalie matokeo ya mtoto wangu bado sijafanikiwa. Kama...
0 Reactions
13 Replies
38K Views
Nifanyeje ili nitakapo taka kuandika kwenye microsoft word page iwe imelala na badala ya kuandika kwa wima niandike kwa ulalo.,
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…