Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anaefahamu anijulishe tafadhali pia kama kuna anae jua web anipe tafadhar
0 Reactions
21 Replies
59K Views
..hizi ranking za "4icu.org University Web Ranking" ni kwa minajili ya WEB VISIBILITY/WEB METRICS..kwa wasomi wameelewa!
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina...
0 Reactions
8 Replies
32K Views
Wakuu naomba nisaidiwe jinsi ya kucalculate PAYE kwa mtumishi wa Serikali mwenye mshahara huu Basic Salary Tsh. 521,800.00 PSPF Pension Contr. (5%of Basic Salary) Sh. 26,090.00 sina posho yoyote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna habari (nisizoziamini) nimepata kutoka kwa jamaa yangu ya kwamba, Waaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Shukuru Kawambwa, amepeleka mtaala Bungeni leo, kama ilivyoshinikizwa na Mh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NI NANI ATABADILISHA MAISHA YA MTANZANIA? Miaka 50 ya uhuru mpaka sasa wanafunzi hawana madarasa,lini tutabadilika na ninani atabadilisha maisha ya mtanzania je mafisadi wanayaona haya?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii radio kila nisikilizapo napata kitu kipya na muhimu sana katika maisha yangu. Radio zote bongo zingekuwa kama radio Imaan hakika tungekuwa mbali sana. Nasikiliza Radio Imaan hapa mkombozi wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
TUME ikatumwa haikfanya ilichofuata, wanafunzi wakaonyesha kile walichomaanisha, wizara ikakwepa, leo imebainika tatizo ni BONAS NDIMBO, mtumishi mmoja alidai bwana ndimbo amekubali kushindwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inaelekea wiki sasa tovuti ya wizara ya elimu ikiwa iko 'Suspended'. Sasa hii inamaanisha nini? :israel::israel:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba niwashirikishe niliyoyakuta kwenye Chuo kikuu kipya kilichoko Arusha kinachoitwa Nelson Mandela African institute of Sciences and Technology. Chuo hiki kipya kiko katika hatua za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza serikali imekua inaweka usiri mkubwa sana katika swala zima la mambo ya elimu mfano kutolewa kwa post ambazo zimeleta athali kubwa kwa vijana wengi hasa wale walioamini...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga. Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Nashindwa kuelewa serikali ina mpango gani na walimu jamani? mtu anajitahidi kusoma kacertificate kake au kadiploma, au hata kadegree kamoja jamani kwa tabu zake zoote, wengine kwa kuungaunga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Kwa kawaida au katika hali halisi, kazi ya kulea vifaranga hufanywa na kuku mwenyewe. Hivyo ili kulea vifaranga, mfugaji ni lazima aige kuku anavyofanya. Ikumbukwe kuwa vifaranga husumbuliwa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Shule ya Queens' Medium School iliyopo Ukonga inatafuta Secretary anayeifahamu vizuri Computer na anayefahamu vizuri kiingereza. Piga Simu kwa Lilian Wasira, Director, No. 0719 604156
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NDG wanajf kiwango cha mshahara kwa mtu mwenye masters ni sh ngapi? kama bado anafundisha shule ya msingi au sekondari. nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Walimu wanalalamika sana juu ya malimbikizo ya mishahara,madai ya fedha za likizo na migomo yao kutokuwa njia mbadala ya kupata haki zao.Mtazamo wangu ni kuwa ili wajikomboe, wote wanaolalamika...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu sasa suala la kuwaelimisha kinadharia na kivitendo vijana wetu hasa mashuleni kuhusu kujua chimbuko lao kama waafrika linazidi kukosa mashiko. Kunaweza kuwa na nadharia nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamii forums ni zaidi ya elimu. Nakuomba uandike maneno hayo chini kwenye simu yako ya mkononi usambaze kwa marafiki zako kumi wajiunge jamii forums (Mimi nipo jamii forums home of greater...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom