Matokeo ya Kidato cha pili-2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Kidato cha pili-2011

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msambaa mkweli, Jan 2, 2012.

 1. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania.
   
 2. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kwa nini umesema hvyo? Na vp kuhusu matokeo ya form 2?
   
 3. M

  Mayaya New Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusema ukweli baraza la mitihani Tanzania haliko responsible pamoja na serikali kwa ujumla. Haiwezekani mpaka shule zinafunguliwa matokeo ya f 2 hawaja yatangaza haiingii akilini, ushauri wafanye kazi ipasavyo na sio wanavyofanya sasa.
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  oshie, nzeze?
   
 5. M

  Mubii Senior Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nasikia matokeo ya form two yametoka na shule zina matokeo. Source ni wanafunzi.
   
 6. d

  dr chris Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli tangu j3 yapo mashuleni.
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hayajatoka bado...yamezuiwa
   
 8. p

  princehancy New Member

  #8
  Jan 13, 2013
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sizinga jamezuiwa????
   
 9. mary mary

  mary mary JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 871
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu natafuta matokeo ya kidato cha pili 2011. Je kuna mahali pengine wanayatoa tofauti na shuleni? nisaidie tafadhali
   
Loading...