Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Je kuna degree course ya clearing and forwading??Na vipi kuhusu shipping management ina degree pia,kama zipo zinapatikana chuo gani
0 Reactions
1 Replies
700 Views
NIMEFANYA KAZI MIAKA5,MWAKA JANA NIMEOMBA RUHUSA NIKABANIWA NA ILIKUA ZAMU YANGU KUSOMA DEO KANINYIMA NA MUDA HUO WENGINE MIAKA 2 WANA RUHUSA.NIMEMPELEKEA MWENYEKITI WA CWT MALALAMIKO ANAMWOGOPA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa elimu karibuni kwenye harambee tajwa hapo juu. Lengo ni m300. Watu wote waliowahi kusomea Arusha Sec, walimu wote waliowahi kufundisha pale na wadau wengine wooote karibuni tuchangie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natumaini wote ni wazima humu nilikua nahitaji ushauri wenu juu ya hili......mimi ni mwanachuo pale ARDHI university first year nachukua BSc.Building Survey nilifaulu vizuri 2 masomo yangu ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna kila sababu kwa serikali kufanya uhamisho huu kwa mkuu wa shule na boharia kwan wana2mia ofisi zao kufanya biashara na kuifisid shule. pia wamekuwa miungu watu hawataki kusikiliza maon ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana "Great Thinkers",huwa naskia maneno mengi sana kuhusu Open University,actually mengi huwa si mazuri sana na leo nimeona nilete humu Jf nina uhakika nitafahamu ukweli kuhusu hiki...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Walimu wapya 28,638 sasa kupelekwa vijijini. Na Godfrey Mushi 19th November 2012 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Philipo Mulugo Serikali imetangaza mpango mpya wa ajira za...
1 Reactions
11 Replies
15K Views
CHUKUA HIYO:Habari njema kwa wale wasio na kalenda za 2013;nakukumbusha usihangaike kununua hiyo.Kwani unaweza kuitumia ile ya mwaka 1985, 1991, na 2002 zipo sawa na hii ya mwaka 2013...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu by profession,nilihitimu stashahada ya ualimu 2007 nkaajiriwa wilaya ya Bukoba mjni.2009 kaenda bachelor ya adult education and community development(Bed Adec),pale Udom na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kitabu cha historia cha grade 6 kilicho andikwa na Haruna K.Joseph kinapotosha historia ya nchi hii kwa sababu mbili picha zilizowekwa zinzmpoteza msomaji!na maelezo yake! Kaweka bendera ya taifa...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
The list of top universities & colleges in Tanzania Ranking 1. University of Dar es salaam. 2. Sokoine university of Agriculture. 3. University of Dodoma. 4. Ardhi...
1 Reactions
173 Replies
43K Views
Wakuu, Katika juhudi cha kujenga utamaduni wa kuwekeza katika vitabu na kuvisoma katika ngazi ya familia, naomba utusaidie kujua vitabu visivyozidi vitano vilivyoandikwa na Watanzania kwa lugha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanafunzi wapatao 154 wa chuo cha Madini jumatatu tarehe 07/01/2013 waligoma kufanya mitihani ya Supplementary baada ya wenzao 55 kusemekana kwamba wali Disco katika mitihani yao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana kama wengi wetu tuliamka salaama sana nakuenda kwenye mishe mishe za maisha kama kawaida. Lakini kunamdau alitupa taarifa ya kilichokuwa kinaendelea IFM. Tunashukuru kwa taarifa. Na baadaye...
2 Reactions
88 Replies
9K Views
jamani naombeni mwongozo juu ya hili swala kwa walimu wa diploma na ngazi ya cheti.
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Katika siku za hivi karibuni kumetokea kundi la wanaCCM ambao wamekuwa wakijiita wanaCHADEMA na kutoa matamko ya kukitukana chama na viongozi wake. Vuguvugu hili lilianzia kwa watu waliojiita...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
watu mliopewa dhamana ya kuongoza na kusimamia mkopo hivi ni kipi kinafanya mpaka leo tangu october mpaka leo wanafunzi wapatao mi4 walikuwa wanapata mkopo ila mpaka sasa hawajapata bodi wamekuja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ku tokana na matatizo yaliyojitokeza katika chuo cha madini napenda kuwataarifu kuwa vijana hawa pamoja na kuwa na moyo wa uvumilivu na busara machozi yao yalikua yanaonyesha dalili za...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Wakuu naomba kuelekezwa chuo cha uvuvi mbegani.......nisaidieni kwa hilo
0 Reactions
1 Replies
784 Views
MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA MCHAMBUZI: IMORI MARK MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA TOFAUTI NA ILIVYOWAKILIWASHWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Back
Top Bottom