Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari ya asubuhi wana jf. Naomba ambaye anaweza kujua mtandao ambao unaresearch papers anisaidie. Natanguliza shukurani
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Kuna Dean wa Faculty ya ICT katia chuo kimoja (sitotaja jina la chuo) alikuwa anasimulia maswaibu anayoyapata katika kazi yake. Alisema ya kwamba anahudumiua wanachuo 120, takribani 90% ya...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wapendwa!, ni mara ya kwanza kuandika chochote mahali hapa. Kikubwa naomba kufahamishwa kwa wale wenye uzoefu. Nina Diploma in Electronics and Telecommunicatrions Engineering kwa bahati...
1 Reactions
6 Replies
26K Views
Wakuu habari za usiku,kwa wale ambao tumeajiriwa poleni na majukumu ya kila siku na wale ambao bado tunatafuta kazi tusikate tamaa MUNGU yupo na ipo siku atakusaidia utapata tu,Baada ya salam...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Poleni kwa shughuli,nahitaji msaada wa vyuo vya ualimu wa diploma,vyuo vya serikali,na wanaanza kuapply mwezi wangapi?plz nahitaji hata naejua gharama zake,nisaidieni tafadhali,Mungu awabariki
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hello watanzania wenzangu, mimi nina mapendekezo ambayo ningependa wadau wa elimu tujaribu kuyaangalia na kuya pa umuhimu...kutokana na swala la elimu kuwa muhimu kwa vijana wa nchi yetu nina...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mimi nlifanya mtihani wa form six kama private candidate mwaka jana nikafanikiwa kupata division 3 ya point 13 tatizo nilifeli GS nikapata F sasa sielewi kama nikifanya application ya kwenda chuo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
haya kwa wenye sifa shule hiyo
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Kwa wale wanaopenda watoto wao kusomea mambo ya anga imeniwia kuomba radhi kwa wanaohusika na hiki chuo kwa matendo wanayoendelea kuwafanyia wanafunzi wao muhimu kilichonileta hapa ni wale wazazi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa sasa, Tanzania ina vyuo vikuu vingi; tunamshukuru Mungu kwa hilo. Baadhi ya majukumu makubwa ya vyuo vikuu ni kutoa elimu kwa wanafunzi na kufanya tafiti mbalimbali kwa maendeleo ya taifa...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Ndugu wana JF Utawala wa Awamu ya Nne unakaribia kufikia ukingoni na kama ilivyo kawaida ya awamu zote matukio kadhaa makubwa ya Hujuma hufanyika ili kuficha/kufunika maovu yaliyofanywa ama na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jf naomba msaada! kuna kipindi serikali ilipiga marufuku kufundisha tuition mashuleni. mwaka gani? nani alikuwa waziri? sheria( policy) gain ilitumika? asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MIHULA YA HIGH SCHOOL KUBADILIKA TZ. Wanafunzi ambao wapo Form VI sasa imekubalika kufanya mitihani February(next month) badala ya May 2013) well and good. Wanafunzi walio Form V sasa eti kuja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi guys, I have come accross to the website of Nice discussion whereby CPA guys can discuss as per their subjects in the Module. I think it is the useful one. It is called:- Exhale Tanzania-An...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo baadhi ya wanachuo wa vyuo mbalimbali hapa nchini wanaanza mitihani yao ya kumaliza semister, vyuo hivyo ni kama UDSM, UCLAS etc. Mimi kama mmoja wa wanachuo hao, napenda kuwatakia baraka na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARI! Wanajamvi naomba kuuliza, ajira za walimu wapya zinatoka rasmi lini. Mwenye taarifa tafadhali atujuze.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Wana jamvi kuna kitu ambacho watanzania tunashindwa kutofautisha ntaelezea tofauti hiyo ntaanza na CHUO KIKUU; kwa hapa tanzania tuna chuo kikuu kimoja tu nacho ni chuo kikuu cha dar es salaam...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanajamvi,nataka kusoma masters OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA naomba anayejua cost zao na course zinazopatikana OUT
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello all; I hope you are all well. I am a student doing a PhD research on tourism in Tanzania funded by the World Bank. My goal is to find out what really affects the preferences of tourist...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom