Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu wana jamvi taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa raiskuna baadhi ya watu wamejifungi mahali wakijadili vipaumbele sita ambavyo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania aliviainisha ambavyo...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Amani iwe nanyi,kuna dogo ana credit nne lakini math ana mswaki hivi inawezekana kusoma shule ya private comb za sayansi bila kulisiti math?
0 Reactions
19 Replies
7K Views
zengwe linasukwa upya na walimu waliobaki shuleni hapo. Inasadikika walimu wanapanga upya mgomo kwa watoto wao.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo Mwanza mjini,nataka kuhamia Dar es salaam,kwa aliye tayari awasiliane na mm kwa namba 0767777071
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama una post na unataka kuamia tanga,popote ulipo wasialiana nami,wai sasa: 0713242842
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHEMSHA UBONGO HAPA: Kwa wale wakali wa Hesabu za awali, aka Basic Maths. Onyo: Wale wenzangu wa fomu nne msifanye hapa, mtaumbuka bureee, msije nichorea Zombi hapa. SWALI: Una kengele tatu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba ushauri je kati ya udakitari wa Meno,Macho,phamacy na maabala.please naomba ushauri.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waungwana nisaidieni ,....hili lnakuwa sasa..sasa tuna Drs WENGI, Prof WENGI..Lakini mtu anakurupuka kutaka kuwa bosi tena mtu mzito kwenye taasisi tena kubwa chuo kikuu ..anagali ana Masters...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Naomba msaada taratibu udahili A Level shule za serikali. Je ipo kamati inayosimamia udahili kama ya vyuo vikuu a mwanafunzi inabidi kutuma maombi shule husika? Ahsante
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu wote tiumeshuhudia moto wa matokeo ya Kidato cha Nne 2012 ambao umehitimishwa kwa kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha jambo ambalo sababu zake ziko wazi kabisa. Ikumbukwe kuwa matokeo ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu leo nikiwa katika nyumba ya ibada kumwabudu Mungu nimeshangaa na kushindwa kumwelewa mwanafunzi mwenye matokeo haya: S2663/0001 F 34 FLD CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F PHY-F CHEM-F...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika familia yangu mimi ni wa kwanza na jumla tupo watano. Na mama yetu ndo aliyetulea mpka kufikia hapa. Mimi nimesoma na ni Daktari wa binadamu yaani MD. Mdogo wangu aliyenifuata amesoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo mabaya ya kidatu cha nne yangelipunguzwa kama ile sera ya mitihani ya kidatu cha pili ingeiiimarishwa na kuzingatiwa. Mtihani wa kidato cha pili unawafanya watoto kujiandaa vyema kuvuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada utaratibu wa udahili A level shule za serikali. Je ipo kamati ya udahili kama ya vyuo vikuu au mwanafunzi anahitajika kutuma maombi shule husika? Natanguliza shukurani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kawaida haiwezekani asilimia 60% ya watahiniwa wa form 4 wakafeli mtihani. Sote tunajua kwamba wanafunzi hawakufundishwa vizuri kwa sababu mbalimbali lakini kubwa ni mgomo wa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa ambaye hakupata bahati ya kuona hii ripoti, imeambatanishwa. Labda itasaidia kujua kwanini watoto wetu wanafeli, pamoja na ukweli wa hizi ripoti.
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau nipo sehem hapa naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof. Enstella Bhalalusesa (kamishna wa elimu Tanzania), Mahamoud Mringo (Mwenyekiti wa wamiliki wa shule binafsi) na Dr...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
TAMKO LA JUKWAA LA WALIMU NA WANAFUNZI-TANZANIA MAPROFESA na MADOKTA(PhD) WA TANZANIA NDIO CHANZO CHA UBOVU WA ELIMU YA TANZANIA. Kutokana na wanasiasa na wadau mbalimbali wa elimu kumsakama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NECTA YA NDALICHAKO IHESHIMU WADAU WAKE Ndugu wadau wa JF, hii taasisi ya Necta haina heshima hata kidogo kwa wadau wake. Kauli zake kwa watahiniwa, wasimamizi na wasahihishaji ni chafu sana...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Habari wana JF, Wataalam wa siasa walipata kusema kuwa ili utawale kundi ama jamii kwa namna unavyotaka wewe ni lazima...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom