Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hi wanaJF, Naomba msaada. Nimejaribu kukokotoa interest rates za fixed account kwenye bank moja hapa nchini kwa kutumia nested if function kwenye excel. Lengo langu, kama sehemu ya kujifunza MS...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Jamani nimeona tangazo la kazi kwa waalimu wa masomo ya Drama, kuna shule ya Drama academy inafunguliwa hapa Dar es salaam. kama kuna mtu yupo interested anaweza tuma maombi kwenye email...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
.........
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Naombeni mnjuze course nzuri kati ya tele or computer eng pale DIT
0 Reactions
2 Replies
932 Views
KAAD Scholarships in Germany for Developing Countries, Germany The KAAD scholarships are addressed to post-graduates and to academics who already gained professional experience and who are...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Kama unafahamu kozi yoyote inayohusiana na masuala ya afya naomba unambie, naomba unambie pia chuo inakotolewa na qualifications zake. Ni muhimu tafadhal
1 Reactions
14 Replies
3K Views
naombeni link za undergraduate scholarship za turkey malaysia 2013/2014
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Wakuu wanajf, huu ni mwezi unakaribia wa nne sasa toka wanabod wa Ugavi Na Ununuzi au Procurement & Supplies wafanye mitihan lakin hadi sasa matokeo hayajatoka! Nakumbuka mitihani ya PSPTB...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Jamani, kwa hapa Tanzania, kuna shule ipi inafundisha kupiga picha, nina madogo nataka kuwapeleka ili waje wakae kwenye studio yangu, tafadhali anayejua naomba anisaidie ni wapi kuna shule ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
majina yaliyokuwa yamewekwa kwa awamu ya pili na wizara yote yametolewa bila notification yoyote, hivyo nakushauri check jina lako upya.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimesoma na kufarijika sana kuwa Shirika la haki elimu limeamua kufanya utafiti wa kina kwa shule ya sekondari ya Kariakoo iliyopo manispaa ya Tabora kwa lengo kubaini chanzo cha kufanya vibaya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Waungwana nisaidieni,mm ni moja kati y6a waliokata rufaa ya means test ya mkopo niliopewa na waziri wa chuo changu akadai kuwa ameenda bodi na wamemwambia kuwa katikati ya mwezi wa pili majina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waheshimiwa, Kwa mwenye contact details za yeyote kutoka ukoo/familia ya Marehemu Professor Joshua Mkhululi (Prof. Ken Edwards) ani-PM tafadhali. Natanguliza shukurani zangu za dhati!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, ningependa kujua ni chuo gani cha Tnazania ambacho ni partner wa chuo chochote cha Norway. Kutokana na kuwepo kwa Quota Scheme scholarship, mtu anapoitaji kuomba inabidi aombe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Comrades and fellow members here are some tips you should know; Top of Form Bottom of Form How to Write an Essay This concise guide to writing an essay by PhD Professor...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hata kama ni usharobaro huu umezidi,yaani wanafunzi wakiume wa chuo wanalawitiwa na mateja na wanadhubutu kujitangaza kwenye magazeti na radio kwamba tumelawitiwa men,na kuibiwa laptop na sim...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
habari wakuu kwa wale wasiokuwa na kibarua fanya hiki kibarua mimi kimenisaidia sana unaweza fanya part time au full time on line na ukapata $20 per hour mimi imenilipa unachohitaji kuwanacho ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom