F ya math o-level nataka kusoma comb za science A-level.

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
927
608
Amani iwe nanyi,kuna dogo ana credit nne lakini math ana mswaki hivi inawezekana kusoma shule ya private comb za sayansi bila kulisiti math?
 
Huu ndiyo mwanzo wa kuja kupasua watu miguu badala ya kichwaa, au muulize amimuuuuuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hata kama ni wewe si mbaya kuwa muwazi tu!!!! anyway je huyo jamaa ako ana credits ngapi jumla???
 
Huu ndiyo mwanzo wa kuja kupasua watu miguu badala ya kichwaa, au muulize amimuuuuuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
hujajibu swali uliloulizwa!!!! jibu inawezekana au haiwezekani maswala ya miguu....sijui....nini...hayana umuhimu!!!
 
Sayansi isiyokuwa na hesabu haipo kabisa hapa duniani.

Nina rafiki yangu wa karibu sana ni hakimu mfawidhi wa mahakama moja maarufu nchini, yeye alitaka awe dakatri wa binadamu. Alikuwa anajua sana kuchambua vitabu mbalimbali vya akina Chinua Achebe, na mambo mengine ya wakati huo kama vile Hegelian na Marxist philosophy. Kutokana na hamu yake ya udaktari, alipasua sana masomo ya Chemistry na Biology lakini Physics na Math zikakohoa, ingawa masome mengine kama ya kiswahili, english, french, siasa, geography nayo alipasua sana. Hivyo akaishia kuingia HGL badala ya PCB aliyokuwa akitaka sana, ambako alipata DIV 1 Form 6 na kuingia kusomea sheria; leo hii ni hakimu mfawidhi maarufu sana ambaye wakati wowote anaweza kuwa jaji wa mahakama kuu.

Wakati mwingine ni vizuri pia kuangalia uwezo kwanza kabla ya kuangalia matumaini tu.
 
well said...ila kama nna uwezo wa kuwa dokta na nnapenda kuwa mwanasheria hapo we unasemaje??? niangalie uwezo au niangalie nnapenda nini???
 
Sayansi isiyokuwa na
hesabu haipo kabisa hapa duniani.

Nina rafiki yangu wa karibu sana ni hakimu mfawidhi wa mahakama moja
maarufu nchini, yeye alitaka awe dakatri wa binadamu. Alikuwa anajua
sana kuchambua vitabu mbalimbali vya akina Chinua Achebe, na mambo
mengine ya wakati huo kama vile Hegelian na Marxist philosophy. Kutokana
na hamu yake ya udaktari, alipasua sana masomo ya Chemistry na Biology
lakini Physics na Math zikakohoa, ingawa masome mengine kama ya
kiswahili, english, french, siasa, geography nayo alipasua sana. Hivyo
akaishia kuingia HGL badala ya PCB aliyokuwa akitaka sana, ambako
alipata DIV 1 Form 6 na kuingia kusomea sheria; leo hii ni hakimu
mfawidhi maarufu sana ambaye wakati wowote anaweza kuwa jaji wa mahakama
kuu.

Wakati mwingine ni vizuri pia kuangalia uwezo kwanza kabla ya kuangalia
matumaini tu.

nimekusoma mkuu,ingawa inauma sana unaposhindwa kutimiza ndoto(ambition)
 
Amani iwe nanyi,kuna dogo ana credit nne lakini math ana mswaki hivi inawezekana kusoma shule ya private comb za sayansi bila kulisiti math?

Ushauri wangu:Aende kwanza kwenye shule anayotaka kusoma aulizie kama inawezekana maana hizi shule za private kila moja ina utaratibu wake.
 
Mkuu hiyo inawezekana by 100% ila ni katika shule ya private, binafsi nilikuwa napenda sana arts japokuwa nilisoma sayansi na kupata dv3 ya penalt na nilipotaka kusoma PCB nilikubaliwa ktk shule private na nikasoma kwa miezi 2 lakin kuna somo linaitwa BAM likanifanya nihame comb na kupiga HGL, but all in all hiyo inawezekana kupiga sayansi na F ya math ya olevel ila kikubwa ni hela yako kusoma prvt school.
 
Na ndio maana wahenga wakasema:Akili ni nywele,kila mtu ana zake.
Mtu anapasua chemistry na Physics na macalculationas yote,lakini anashindwa kupata 21 marks za basic mathematics! Kwa nini usishangae?!
 
Na ndio maana wahenga
wakasema:Akili ni nywele,kila mtu ana zake.
Mtu anapasua chemistry na Physics na macalculationas yote,lakini
anashindwa kupata 21 marks za basic mathematics! Kwa nini
usishangae?!

sio kwamba math mchovu,isipokuwa mtihani huwa autabiriki.
 
Utetezi wa kichovu sana. Kwani masomo mengine yanatabirika?Halafu huwezi ukawambia mtu umekimbia PCB eti kwa sababu ya BAM.Kwani hiyo ni principle subject?Chuo gani wanataka subsidiary subjects badala ya princimpal?Mbona mnataka kutulazimisha kuamini uongo?
 
utetezi wa kichovu sana.
kwani masomo mengine yanatabirika?halafu huwezi ukawambia mtu umekimbia
pcb eti kwa sababu ya bam.kwani hiyo ni principle subject?chuo gani
wanataka subsidiary subjects badala ya princimpal?mbona mnataka
kutulazimisha kuamini uongo?

inawezakana ujaielewa post yangu ebu rudia kuisoma.
utetezi wa kichovu sana.
Kwani masomo mengine yanatabirika?halafu huwezi ukawambia mtu umekimbia
pcb eti kwa sababu ya bam.kwani hiyo ni principle subject?chuo gani
wanataka subsidiary subjects badala ya princimpal?mbona mnataka
kutulazimisha kuamini uongo?
 
inategemea na combination anayo taka kwenda, PCB wala asijisumbue kabisaaa atafeli Physics, combination iliyo baki ni CBG hii anaweza kusoma japokua kuna kisomo kinaitwa BAM(Basic Applied Mathematics) sio muhimu saana but ni lazima lisomwe.
 
Nina mswaki wa math o-level, lakini nasoma CBG na kachumbali BAM...!
 
Mdau nina 3 ya 22
math-F
Civi-D
Bio-D
Geo-C
Hist-C
Eng-C
Kisw-C
Comm-C
B/keep-C
Je ninaweza kwenda combi za biashara
 
Sayansi isiyokuwa na hesabu haipo kabisa hapa duniani.

Nina rafiki yangu wa karibu sana ni hakimu mfawidhi wa mahakama moja maarufu nchini, yeye alitaka awe dakatri wa binadamu. Alikuwa anajua sana kuchambua vitabu mbalimbali vya akina Chinua Achebe, na mambo mengine ya wakati huo kama vile Hegelian na Marxist philosophy. Kutokana na hamu yake ya udaktari, alipasua sana masomo ya Chemistry na Biology lakini Physics na Math zikakohoa, ingawa masome mengine kama ya kiswahili, english, french, siasa, geography nayo alipasua sana. Hivyo akaishia kuingia HGL badala ya PCB aliyokuwa akitaka sana, ambako alipata DIV 1 Form 6 na kuingia kusomea sheria; leo hii ni hakimu mfawidhi maarufu sana ambaye wakati wowote anaweza kuwa jaji wa mahakama kuu.

Wakati mwingine ni vizuri pia kuangalia uwezo kwanza kabla ya kuangalia matumaini tu.

post of the week hii, big up.
 
Back
Top Bottom