sura mbaya
Member
- Mar 5, 2013
- 86
- 14
Msaada kwenu wanajf. Nina four 30 sijui nifanye nini? Nahitaji kufahamu kama nikienda certificate nikachukue course gani ambayo itanisaidia kujiajiri mimi mwenyewe.
Bora nikalime
nitajie grades zako kwa masomo yote
History D,English D,Civics D, Biology D na Kiswahili C