Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari walimu! Nimedownload leo majina ya walimu waliopangwa post mpya 2013 kuna mabadiliko kwani waliokuwa wamekosa mwanzo wamepata ila pia wale inservice wengi nimeona wametolewa kwenye list...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Aporomosha ufaulu kutoka asilimia 89 hadi 43 na Josephat Isango WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ametangaza majina ya wajumbe wa tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua tume maalumu aliyoiunda ili ifanye uchunguzi wa Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 18, mwaka huu na kuwataka wajumbe wake watafute...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wakuu naomba mawazo yenu, nilifanya mtihani kama mtahiniwa wa kujitegemea na matokeo ndo kama hivyo, Pinda anaunda tume kuchunguza kilicho tokea. Je nisubiri matokeo ya tume ya pinda au...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwanza kabisa ningependa kuwajulia hali wanajamii wote na tumaini ni wazima,matokeo ya kidato cha nne kama yaliyotangazwa na waziri wa elimu hayakuwa mazuri hicho ndicho vijana wetu walichokivuna...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Friday, March 1, 2013 Walimu wakuu wa shule za sekondari nchini wameitupia lawama serikali kwamba haiwezi kukwepa lawama za matokeo mabaya ya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana kwa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mbn tunamtafuta mchawi tunae mfaham.tume iliyoundwa ni kupoteza muda na rasilimali pesa zitokanazo na kodi zetu.matatizo yaliyoko sekta ya elim hakuna kiongozi wa serikali asiye yafaham.corruption...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba maelezo kwa anaeifahamu vizuri shule hii, ina comb zipi na ada yake na ubora wake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Wakuu heshima zenu, Jamani nilikuwa naomba msaada wa kujua shule la A-LEVEL mchepuo wa PCB hapa Dae es salaam.Nitashukuru wakuu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukijiuliza kuwa hii nchi ina Serilkali (CCM), lakini bado kuna vitabu vinatungwa na kupitishwa kwa ajili ya kufundishia watoto wetu mashuleni. Mfano kuna "kitabu kimeandikwa namba yoyote ukigawa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo naona humu hekaheka zimepungua sababu kubwa ni kwamba walimu wapya wameenda kuripoti tuna kila mtu aseme kapangwa wapi je kuna maji, umeme,na nyumba? halafu muache usharouharo mpige kazi maana...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
wanafunzi wapatao 120 ambao ni miongoni mwa wanafunzi 215 ambao pesa zao za kujikimu kwa mwaka wa masomo 2012 na 2013 hawajapewa na bodi nakuishia kudanganywa na baadhi ya watumishi wa bodi mpaka...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga, kwa mamlaka aliyopewa na sheria ya Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 1964 kifungu kidogo namba 2b kwenye mabano. Anawaita (CALL UP)...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Mwana jf nimekaa na kutafakali but sipati jibu labda sina uwelewa wakutosha wa kuchanganua hili jambo naitaji kuelimishwa kwa hili 1.hivi pesa za mchango wa madawati unaenda wapi au unatumika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta jinsi gani nitapata scholarship ya kumalizia masomo yangu, nimebakiwa na semester 3 tu ili kumaliza course ila sasa naona nitakwama sababu najilipia mwenyewe. Naomba mwenye kujua wapi...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Wana jamvi kwa msaada wenu hebu tusaidiane hapa, juzi nimesoma gazeti la raia mwema makala ya kitila mkumbo mbona huyu jamaa anaenda kinyume na chama chake kwa sababu wakati bavicha na chadema...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatimaye wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imefanya mapitio ya walimu waliohitimu mafunzo ya shahada na kugundua kuwa kuna baadhi yao waliachwa kimakosa huku wakiwa na somo la kufundishia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau hebu tujuzane hivi hii meza ya juu ni nana anapaswa kukaa hapo katika shughuli zifuatazo: Ø Mahafari shule, chuo nk mara nyingi tunaona mgeni rasmi,wamiliki na labda mkuu chuo/shule, wengine...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Vijana mliofeli 2012 kidato 4 msikae mkabweteka kama vijana wengi na wazazi mnavyowaza tume inaweza kuja nahoja mtihani urudiwe au usahishwe upya, kama mnavyojua tume zetu zitachukua muda na kuja...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Back
Top Bottom