Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mbona kimya jamani
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakaazi wa visiwa vya zanzibar wakiwa wakijiuliza maswali mengi kutokana na ilekauli ya Rais wa kwanza Marehemu MZEE ABEID.AMANI.KARUME.Alipotamka kuwa, elimu ya wazanzibar ni kusoma bila malipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yaahidi kukamilisha na kuyatangaza tena wiki hii. Source tbc habari na uhakika.
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Jamani, Tanzania hii vipi. Mbona hatuambiwi kuhusu matokeo. Yatolewa lini?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jaman wadau sioni raha kabisa kuona ukurasa wangu haua hata rafiki mmoja, nimejaribu kutuma request but hakuna jibu So jaman naomba mniunge mkono katika hili but remember to Make as many friends...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tetesi zilizpo kitaa ni kuwa mitian iliyopangwa kusahihishwa upya imeahirishwa kwa kuwa kuna watu waliojinyonga kutokan na matokea hayo na kuna watu waliorudia madarasa au hat kwenda chuo hivyo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji mpanda, nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka shinyanga mjini, atakayependa kufanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Najua nami yanaweza kunikuta ila nawapongeza PSPTB kwa kubadili mfumo wa kupenda kurudia past papers kwenye mitihani yenu...... Ofcz waliofanya PIV wataniunga mkono kwamba paperz za May 2013...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wapendwa, eti ni vyuo gani amavyo ukimaliza cetificate unaweza kuingia barchelor? naombeni majibu jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya gazeti la kiswahili la tarehe 15 Mei, 2013 limetoa tangazo lililosomeka "POSITION VACANT" pamoja na kuweka sifa kedekede za mtu mahiri wanayemtaka aiongoze shule hiyo mpya inayotarajiwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Kama wewe ni mhitimu wa kidacho cha sita au una mdogo wako kamaliza kidato cha sita na unaplan kumshaur achague kusoma UDOM especial hii college ya INFORMATICS, nakushaur ufikirie mara mbili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dr. Aldin Mutembei alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili (TATAKI), University of Dar es Salaam, amevuliwa madaraka ya Ukurugenzi wa TATAKi kufuatiwa tuhuma za Ubadhirifu wa Pesa za...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ni kuwa kinatoa PHD ndio maana hapa bongo vyuo kama st johns,tumaini,sekuco, sijui jordan huwezi kusoma then ukajisifu kwenye dunia hii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Itende high School iliyopo Mbeya mjini, nje kidogo ya jiji, ina tangaza OFA kubwa ya ada ya shule KUTWA sh 250,000 kwa mwaka mzima: Hii na kidato cha 5 & 6 tu. Kidato cha 6 ni kwa nafasi za...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Inakuwaje vyuo ni vingi sana ila vinavyokubalika hadi mtu kupata kazi ni vichache
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA Kutokana na Chuo kufungwa, Baraza la Uongozi wa Chuo katika kikao chake cha dharura cha tarehe 03 Mei 2013 kimeagiza wanafunzi wote kuanzia ngazi ya Cheti mpaka...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mapendekezo kuhusu matokeo tata Mwenyekiti wa tume ya waziri mkuu ya kuchunguza sababu za kushuka kwa ufaulu wa kidato cha nne mwaka 2012, amesema kuwa kuna mapendekezo mengi na baadhi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow, wana jf nawasalimia wote!!
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Habarini wanajanvi, ni yupi mwenye nafasi kubwa ya ajira na mwenye pesa nzuri? Kati ya hao
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana jf, hivi sasa katika chuo kikuu cha waislamu morogoro (mum) kuna kampeni zinaendelea za uchaguzi wa ccm katika ngazi mbalimbali za uongozi. lakini cha kushangaza ni kutozingatiwa kwa kanuni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom