aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,674 Reaction score 3,743 May 17, 2013 #1 Ni kuwa kinatoa PHD ndio maana hapa bongo vyuo kama st johns,tumaini,sekuco, sijui jordan huwezi kusoma then ukajisifu kwenye dunia hii
Ni kuwa kinatoa PHD ndio maana hapa bongo vyuo kama st johns,tumaini,sekuco, sijui jordan huwezi kusoma then ukajisifu kwenye dunia hii
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 186 May 17, 2013 #2 Kilazaaaaaaa!
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,039 Reaction score 3,927 May 17, 2013 #3 Usomi sio "kujisifu kwenye dunia hii" kama inavyomaanishwa na uzi wako, bali ni uwezo wa kuitumia elimu kutatua matatizo ya jamii.
Usomi sio "kujisifu kwenye dunia hii" kama inavyomaanishwa na uzi wako, bali ni uwezo wa kuitumia elimu kutatua matatizo ya jamii.