Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

“...Tunatumia fedha nyingi sana zisizolingana na uwezo wetu kuwasomesha watu wachache, ili baadaye na wao walete faida kubwa kiasi hicho hicho katika nchi. Tunatumia fedha kutafuta faida katika...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Kama kuna mtu ana idea na course hii anipe muongozo kwan nataka ku'apply pale DIT.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lugha ya Kiingereza ni lugha ya mawasiliano katika sehemu nyingi duniani kuliko lugha nyingine yoyote. Chombo kinachotumika katika kufanikisha azma ya kukieneza Kiingereza, ni pamoja na Shirika...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
kesho siku ya jumanne tarehe 21 kutakuwepo na mgomo kwa chuo kikuu cha dodoma hii imesababishwa na kutojulikana hatma ya fedha ya kujikimu ya wanafunzi kutoka bodi ya mikopo. Matangazo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi hii page ya necta facebook ni ya kweli au wanatutia presha tu. Maana wamesema matokeo yapo tayar na ndio wanaendelea kuyaweka kwenye mtandao. Alaf kama mtu anayataka yake atume namba yake ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana jf. Kama heading inavyojieleza ni kuwa tumeona ni vyema kuanzisha umoja wa wana azania tuliomaliza kati ya miaka tajwa hapo juu lengo ikiwa ni kujuana zaidi, kukumbushana mambo na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonyesha wizara ya elimu haina imani na walimu wa kiswahili,English,Biology na kiswahili,wameandaa mitihani ya wizara katika masomo hayo.Mtihani utafanywa na wanafunzi wa kidato...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Sijaona kosa la NECTA kuhusiana na failure ya CSEE 2012 kwa sababu zifuatazo; 1. Mtihani ulikuwa standard 2. Usahihishaji ulifanywa na walimu wenyewe 3. Necta waligrade matokeo kwa viwango vya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ni mwezi May mwishoni, zimebaki siku 8 tu kuuanza mwezi June. Matokeo ya form six hayajatoka, AJABU. kwa kawaida matokeo haya hutoka Mwezi April mwishoni au May mwanzoni, lakini tunajtaribia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wadau!,,mimi ni miongoni mwa tulisoma Mbezi Beach sekondari kuanzia mwaka 2001 hadi 2005,,naomba tujikumbushe pilika zetu enzi hizo chini ya mwalimu Ng'ang'a,Mshana,Sijali,,pilika za...
0 Reactions
0 Replies
44K Views
Habari za mchana,naombeni mnijuze link ya kuyapata hayo matokeo mapya yaliyosahishwa niangalie tafadhali
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wadau wenzangu wa elimu,natafuta tempo ya kufundisha somo la physics nipo KIBAHA.My no 0717582396.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, uamuzi uliochukuliwa na selikar wa kupanga matokeo ya kidato cha nne ni mzur na una manufaa kwa nchi na raia wake,wewe unaepinga nikwamba ujui machungu wanayo yapata wazaz na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimesoma gazeti la RAIAMWEMA la leo jumatano habari iliyoandikwa "kuelekea matokeo kidato cha sita sifuri kibao zafutwa kimyakimya" 1.sababu za kuchelewa ni pamoja kuogopa kufutwa kwa matokeo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Chuo cha Uhasibu Arusha kinawatangazia Wanafunzi wote wa kozi za ngazi ya Cheti hadi Stashahada ya Uzamili kwamba chuo kitafunguliwa siku ya Alhamisi tarehe 23 Mei, 2013...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za sasa hivi nafanya research naomba mtaalamu wa kuedit kabla sijakusanya anaweza PM pamoja na gharama zake zote kazi ina page kama 60.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kutoa tahadhari kubwa sana kwa wanafunzi wa UNIVERSITY OF DAR ES SALAM wanaoishi Mabibo Hostel na watu wengine wanaokaa maeneo hayo. kuna kijana ambaye anajifanya ni fundi Computer hasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bora wizara ya elimu waziri wake atoke miongon mwa hawa form4 wanaosubiri matokeo yao,kuliko kuongozwa na vilaza mapacha(shukuru§mulugo)AU MNASEMAJE WAPENDA ELIMU?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Muenendo wa Elimu ya Tanzania unavyoendelea unatia shaka, kutokana hali halisi ya namna elimu nchini inavyozidi kushushwa na kupoteza maana kabisa. Elimu ya Tanzania kwa ngazi yeyote imepoteza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When you study never think about your future. how truth is this assertion is?
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Back
Top Bottom