Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Sifa za mtu anayefaa kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika. 132. Mtu atastahili kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika endapo atakuwa na sifa zifuatazo- (a) angalau awe na elimu ya Chuo...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Haki ya elimu na kujifunza 41.-(1) Kila mtu ana haki ya: (a) kupata fursa ya kupata elimu bila ya vikwazo; ‐ 18 ‐ (b)kupata elimu bora ya msingi bila ya malipo na inayomtayarisha...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Please visit our website for details Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China Government Universities, scholarships for limited seats only. Contact Dr. Zaman Naqvi 008613219363449...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu................. Ni hivi naombeni kujuzwa gharama za usukani wa bajaji(TVS) na wapi zinapatikana kwa dar au dodoma. Vilevile mawasiliano kama...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Wadau kozi gani kati ya hizo yenye uhakika wa ajira naombeni ushauri kabla sijafanya uamuzi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
:yell:Jana nlikua Naangalia F6 Mmmoja anomba chuo Msumbiji na pia Ukiangalia ana PCB ..EEE.Sasa nashangaa Sana Kuona anaomba Fucult of Medicine.Nyie Form 6 Someni Guide Book Kwanza uangalie Vigezo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
naombeni msaada kwa anayefahamu kwa sababu nimekuwa nikipiga sim kuongea na mkuu wa chuo nilichoomba lakini kwa line yangu ya tigo wananiambia kuwa niangalie vizuri number yangu kisha nipige tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANGAZO MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:- 1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
TCU ndio chombo kinachohusika kwa sasa kuchagua wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini kupitia mfumo rasmi unaoitwa CAS. Kwa utaratibu uliowekwa kwa sasa, ina maana hakuna...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Je umekata tamaa na kusoma ipo nafasi ya pili kwa wale wote wanaotaka kurudia mtihani wa kidato cha nne na sita na wale wote wanaotaka kujiendeleza kimasomo sasa lipo tumaini fika kituoni kwetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wote wanaorudia mitihani ya kidato cha nne na sita na wale watu wote wenye malengo ya kujiendeleza kielimu fika kituoni kwenu bei zetu ni nafuu kwa watakao wahi watapatiwa punguzo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow wanajamii forum,mimi ni mhitimu wa form four mwaka jana nimepata div four 26 nina BIOLOGY-C, PHYISC-D, CHEMISTRY-C, B/MATH-D, GEOGRAPH-D, KISWAHILI-D, CIVICS-D ,ENGLISH-D na...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
nyie madogo mnaotaka kuomba vyuo mwaka huu kueni makini,hiki chuo chakata(UDOM) nibalaa,mikopo wanaiba sana,wenzangu namm nyumbani kweupe nakama mnacutt off pts nzuri ombeni tu vyuo vingine,hili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau eti Bwanjai ni mji wa kihistoria uliopo mkoa gani?.
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Samahani naomba kuuliza.Mimi nmemaliza diploma last year,nataka kua apply chuo direct bila kupitia T.C.U. Sasa kuna mtu kaniambia kuwa hiyo system haipo sa iv wote tuna apply kwa T.C.U. Naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mara ya kwanza nilivyoliona hili tangazo la jkt nilifurahia kwa kuwa nilijua si miongoni mwa wale watakaoenda kupiga kwata......lakini baada ya kukaa na kufikiria vizuri nimebaki na maswali mengi...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Wanajamvi kumekuwepo na msemo kuwa miaka ya nyuma ndio kulikuwa na wanafunzi bora kielimu kuliko miaka ya sasa ambapo wengi wanadai wanafunzi ni vilaza,naomba tuweze kuifuta kauli hii kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello Baada ya university promotion kuwa slow nakuja na fast unlimited internet kwa mwezi mzima itakayo kuwezesha kuangalia tutorial za u-tube na kuelewa new knowledge from abroad lecturers ,uta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…