Hamna kozi yenye uhakika wa ajira. Ni wewe utakavyojipanga kupambana na vilwazo vilivyopo. Kuna mkaka alisoma veternary medicine nilimkuta ananisevia juice kwenye ndege. Na akaniambia inamlipa kuliko udaktari
Vertarinary NA nursing huwezi kaa ukakosa kazi asa asa Vertarinary medicine sababu hipo SUA tu na watu wanakuwa enrolled ni wachache at the same time uitaji ni mkubwa wa wataalamu hawa
Sababu wengi wanapenda na wanakimbilia kuwa ma LECTURER ktk medical Schools
Mfano Muhimbili kuna ma senior lecture wawili wote wamesoma BVM
So kama una msuli wa SUA jipange kasome na mshahara wa hawa jamaa ni tofauti ya kama Kilo moja ukilinganisha na Madakitari
Kapige degree ya Ticketing and Forwading chuo kipo ghorofa ya tatu mkabala na......nursing utaishia kufunga vidonda,BVM utaishia kutoa kupe na kunyunyizia dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.