Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. We are representing top ranking Government...
Habari za muda huu wakubwa kwa wadogo.
Ninaomba kwa yoyote anayefahamu websites ambazo ninaweza kudownload ebooks masomo ya fizikia na hisabati ya a level aweke hiyo site au link hapa ili...
Npen ma full informatn na data za kutosha kuhuxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp maana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kua kuna...
Wadau... Ninaye mwalimu wa Kifaransa anatafuta sehemu ya kufundisha watanzania wenzake mwenye kufahamu sehemu wanakohitajika walimu hata kwa part time naomba PM tafadhali...
Mimi Ni mhitimu Wa kidato cha Sita 2012.
Niko chuo kwa sasa .
Ila nimefurahishwa sana na mfumo Wa kwenda jeshini kwa vijana Wa mwaka huu Wa masomo..
Nauliza mwenye taarifa za mtu...
HI!natumia wordpress 3.5.1 kutengenezea website,but napata ugumu on how to insert logo nimenda kwenye css file nimeattempt kuedit but it look no changes,please naombeni msaada namna rahisi ya...
Kamusi ya kiingereza inayotolewa na Oxford University Press ya nchini Uingereza iitwayo Oxford English Dictionary, mwezi huu wa June imeingiza neno "Tweet" ambalo linamaanisha kutuma ujumbe kwenda...
NI SHULE NZURI KITAALUMA INAMILIKIWA NA KANISA KATOLIKI JIMBO LA MUSOMA,INATOA MALEZI BORA KWA VIJANA,MWAKA 2013 TUTAANZA RASMI KUTOA MASOMO YA KIDATO CHA TANO KWA COMBINATIONS ZA...
Jamani Wa Wana Jf Nina Mdogo Angu Kapata Ziro Form Four Sa Nataka Arudie Shule Hv Akirudia Form 3, Si Kuna Uwezekano akaja Fanya Vzr Au Mpaka Aanzie Fom 2?
nimepata habari kuwa na wale waliohitimu vyuo vya ualimu mwaka huu 2013
watafuata kwenda kambini(jeshini) baada ya hawa form 6,
JE KUNA UKWELI KATIKA HILO?
mi nimemalza form 6 ECA na kugpata econ c,acount c ,comm d,bam s.mi napenda sana kuwa economist pia accountant,lakn inabidi nchague kimoja,sasa naomba msaada kozi ipi nzuri na itanitoa kati ya...