Nalitamani Jeshi(jkt).

Simply

Senior Member
Oct 13, 2012
130
30
Mimi Ni mhitimu Wa kidato cha Sita 2012.
Niko chuo kwa sasa .
Ila nimefurahishwa sana na mfumo Wa kwenda jeshini kwa vijana Wa mwaka huu Wa masomo..
Nauliza mwenye taarifa za mtu akihitaji kujiunga kwA hiyari ukoje..?
Baada ya kumaliza chuo natamani kujiunga.
 
Si unaomba tu tatizo nn kwani???....watu kama nyie ndo mnaotakiwa kule sio hawa wa kulazimishwa
 
Back
Top Bottom