Accounting and economics

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,100
926
mi nimemalza form 6 ECA na kugpata econ c,acount c ,comm d,bam s.mi napenda sana kuwa economist pia accountant,lakn inabidi nchague kimoja,sasa naomba msaada kozi ipi nzuri na itanitoa kati ya bachelor of accounting and finance Vs bsc Economics.pia katika chuo kipi?nawasilisha.
 
angalia mbali - ukisomea Bachelor of Accounting and Finance utakuwa na soko na kikubwa uwezekano wa kujiajiri ni mkubwa na fani hii ni more remunerative
 
ukisoma Economics unajiandaa kua bosi na unajua nafasi za mabosi zinahitaji uvumilivu ndo uzifikie yaani labda uhenye serikalini somewhere ndo uje ufike huko. uhasibu unajiandaa kua mtumwa wa kila mtu. utadharauliwa na kila mtu na kila mtu atakuwakea perception ya wizi. pia jitahidi ufaulu vizuri kwenye uhasibu na pia CPA ni madatory ili uwe huru vinginevyo utatumikishwa na kila mtu. utafanya kazi routine hakuna managerial position kwenye uhasibu labda ubahatike kua finance manager kitu ambacho pia lazima upitishwe kwanza.
 
usiangalie soko tu angalia pia kazi ambayo itakupa nafasi ya kufurahia elimu yako na maisha yako ya kijamii. lakini uhasibu kwanza unalipwa kidogo, routine works rundo, ila kazi utapata ila utakua na tension ya kazi kila siku. pia jiandae kuishi guilty life ya kuiba kwani uwezekano wa kukutana na mabosi wezi ni mkubwa so unweza hutaki kuiba lakini ukalazimika kutokana na mazingira yaliyopo au ukikataa ndo hivyo leo utaambiwa umechelewesha report kesho report haijakaa sawa na kadhalika
 
Dugh.......hatari namna hio
 
Back
Top Bottom