mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Tetesi ni nyingi mara hupati mkopo mara chuo.. kwa mwenye taarifa atujuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetesi ni nyingi mara hupati mkopo mara chuo.. kwa mwenye taarifa atujuze
wanatoa nauli ya kwenda kambini??????
Vjana wezangu nawashaurini nendeni huko jkt, naamini hamtapoteza chochote na pia,
mtapata elimu nzuri ya maisha pamoja na za kivita.
Pia ni nafasi nzuri ya kujenga marafiki wapya wa maisha.
Kwa kifupi nawatamanini sana.
Mimi ni mmojawapo wa ma millenneal ambao hatujafanikiwa kupata nafasi hiyo nzuri.
Nilimaliza form six 2001, nikamaliza udsm 2005, nikabahatika kupata ajira in Gvt from 2006.
Kwa sasa nimalizia masomo yangu ya masters udom
Mwaka kesho inshalah Mungu akijalia na mimi
nitaomba . kuhudhuria mafunzo ya jkt nikiwa kama mtumishi.