Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani nani anajua website ya TAMISEMI? Au mwenye details za sula zima la uhamisho wa waalimu June 2013, naomba anisaidie please. Asante
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani mwenye taarifa kuhusu selection za tcu anjuze
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Wakuu wajuvi wa mambo naombeni mnidadavulie hapo juu tofauti zake, ipi ni nzuri zaidi, natanguliza shukrani.
1 Reactions
31 Replies
14K Views
Wakuu, Chuo chetu Huria Tanzania ,Open University of Tanzania (OUT) Wame mu award Obama PHD. Na pia wana wish kupewa chance ya kumtunuku Obama PHD yake kama wakipata nafasi. My Take. Kuna watu...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Ndugu zangu naomba kujua je vitabu vya mtunzi Elvis msiba nitavipata wapi mana nina kumbuka mbali sana kipindi hicho cha shule kuna kaka yangu alikuwa anakuja navyo wakati wa likizo.naomba msada...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Niangalizieni Jina hili FRANK BAHATI kama limechaguliwa IRDP mwanza campus kwenye WWW.IRDP.AC.TZ
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Naomba kujua kama Transcript huwa zinakua na picture. ?? Nilimalza chuo huko dar es salaam. Na nlpotaka kuhama nlipewa Transcript nzuri lakn haina picture yangu. Ningependa kujua kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!"
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nampango wa kuanza chuo mwakani ningependa kujua Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM.
0 Reactions
43 Replies
5K Views
kwa kuwa mimi ni mdau wa hapa jamiiforuns na pia ni mwanafunzi wa chuo hiki cha st joseph,, tume ya vyuo vikuu tanzania(TCU) na chuo hiki....wamekubaliana wanafunzi wa form four wanaweza kusoma...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
At a time when other countries are doubling down on education, tight budgets have forced states to lay off thousands of teachers. We know a good teacher can increase the lifetime income of a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wizara ya elimu imeanzisha michepuo mipya katika shule za secondary hapa nchini moja ya michepuo hiyo ni CPA kwa kirefu ni chemistry, physics, na accountancy source mkurugenzi wa elimu secondary...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa anaejua anielekeze, pia anitajie na ada.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombe wenye huruma wanisaidie,mm nimechagua vyuo vikuu v3 yaan UDOM,UDSM§DUCE ,Baadaye nikaenda kumalizia vyuo viwil,bt mpaka sasa vyuo nilivyoongeza havionekan kila nikiongeza profile yangu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi selection za vyuo lini tuanze maandalizi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Jaman napenda kujua kwa nini website karibu zote za serikali wameondoa matokeo ya form six na wameyaacha ya form four?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TANZANIACOMMISSION FOR UNIVERSITIESExtension ofApplication Period for Admission into Higher Education Institutions in Tanzaniathrough Central Admission System (CAS) to enable Applicants to Check...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Yahusu kupotea kwa cheti cha chuo jana nilikuwa natoka mhonda nilippanda gari la bm nikashukia kihonda magorofani,kwa iyo huenda nilishuka nacho nikadondosha au nilisahau kwenye gari,jamani naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mi nna mdogo wangu na alikuwa JKT katoka lkn time imebana vibaya mno cz vocha za TCU amehangaika kila sehem anaambiwa zmeisha.Kuna uwezekano zoezi likaongezwa kuwapa nafas waliokuwa mafunzoni kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom