Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

CHUO CHA COMMERCIAL COLLEGE ARUSHA [ARUSHA SPORTS] KINAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA NGAZI YA CHETI,DIPLOMA,ADVANCED DIPLOMA KWA 2013/2014 WAHI NAFASI NI CHACHE HADI 20 JULY 2013. Chuo cha...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Yan toka mniambie mpo katika progress mpaka leo hii hayo masaa mlonipa 72 yamepita lakini hakuna kinachoendelea mweeee na mda umekwisha,,,2fu hamsini yangu mshakula kiulaini mwee
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kupata 4 ya 26 art kutokana na maisha yangu naomba mnishaur nisomee kitu gani ambacho kitakua na ajira baada tu ya kusoma na si kukaa nyumban....#maisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamii Forums!!!! Naomba kuuliza je kuna kozi inayotolewa sehemu ihusuyo mambo ya Blog? Sababu napenda siku moja kuwa Blogger kama unafahamu hiyo kozi naomba unifahamishe ili niweze...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Facebook has become an integral part of the lives of millions across the globe. Pretty much everyone with access to a computer or smartphone has a profile on the social network and, somewhat...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Serikali imewasahau wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hivi kuna tofauti gani kati ya bachelor of arts with education na bachelor of education in arts hebu nisaidien mi vinanchanganya
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi!nawashukuru wote mlionisadia ktk kutatua tatizo langu.Nilikuwa nimeshindwa ku EDIT fakat zangu wakat wa kujaza tcu bt kupitia jf nimefanikiwa kufanya hivyo.WOTE WENYE BUSARA...
0 Reactions
3 Replies
826 Views
Chuo cha MZUMBE leo wametoa majina ya wanafunzi watakaojiunga na chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya chuo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani kuna kozi hiyo nikiweka first choice inadisplay NO. nikiweka second ina andika YES. msaada mwenye kujua hayo mambo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba mnieleweshe tofauti kati ya bachelor of arts with education na bachelor of education in arts
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu.Naomba mwenye uelewa kuhusu mtu kuwa eligible kwenye kozi fulani anisaidie na vitu ambavyo eligibility inategemea.Nina pointi 7,nipo eligible muhas lakini sipo eligible udom...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kubadilisha baadhi ya programmes nilizochagua wakati nafanya application tcu zinagoma,yaani nilibadilisha pale kwenye "SELECTED PROGRAMME" zikabadilika na nikasevu changes lakini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NAOMBA USHAURI Busines communication <muccobs> & it vs banking &finance<ifm>
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hi course ipo ruaha university college ukimaliza unakuwa ni mwasibu au mtaalam wa it,maana ndoto zangu ni kuwa mwasibu
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Naombeni kujuzwa, eti post za kidato cha tano zinatoka lini?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"Change will not come if we wait for some other person, or if we wait for some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.” BARACK OBAMA. Discuss the...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa watoto wa obama siwaelewi, wanasoma au ni vilaza, mana muda wote wanapiga trip na baba yao. Au walifeli form 4
1 Reactions
67 Replies
9K Views
kwale wote wanaotaka usajili kwa kidato cha sita kwa watahiniwa binafsi nafasi zipo call 0714404951 now
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom