Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

jaman udom bado hawajatoa tarehe ya kuripoti na gharama? Maana walisema mwanzo wa mwezi huu: mnasemaje wadau?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
karibuni wote wa st john marks centre dsm 2tete mawili matatu kuhusu chuo chetu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hallow my friends,leo nimekuja na changamoto mpya,je ni kweli kuwa sasa hivi watu wanafanya dini kama sehemu ya biashara?
0 Reactions
1 Replies
857 Views
jaman kwa wale wenyeji mwuce, tunaomba msaada wenu wa mawazo kwa ss wagen
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Background ESTABLISHMENT The Tanzania Commission for Universities (TCU) as a body corporate established under the Universities Act, No. 7 of 2005, is mandated to recognize and accredit the...
0 Reactions
9 Replies
24K Views
Sasa kaz imebaki kwa heslb,,,,kuwatia presha hawa jamaa ni kitu cha muhimu sana,,,wanajamv,,,,maana ili jukwaa wanapitia watu wengi sana,,,wadau wa heslb,,pia wanapitia sana tu,,,Alafu wiki mbili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa yoyote ambaye amechaguliwa katika chuo mojawapo kati ya vyuo hivi naomba kufahamu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana jf kwa anayejua kama out wametoa majina ya undergraduate anijuze
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Habar wana jf naomba kujuzwa je ninaweza nkaomba kubadilisha chuo kutoka nlchopangiwa kwenda kingine na je prrocess zinaktaje!'ahsante!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ingia kwenye website ya tcu then click list of selected applicant 2013/2014 afu fata maelekezo
1 Reactions
96 Replies
9K Views
tufahamishane kidogo kuhusu fomu lini zinatoka na orientation week ni lini inaanza na nasikia kuna shida ya maji je ni kweli.....!!!!!???
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ivi nacte nasikia kwamba eti huwa wana kosesha watu kuingia chuo kikuu eti ni ukweli? Maana na mimi nimo kwenye list not selected.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
baada ya kufungua page ya tcu nimekuta nimechaguliwa tcu, lakini sijaelewa procedure za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel. kwa yeyote anayefafamu naomba anijuze.:help:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama una taarifa rasmi tafadhali naomba tujuzane
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Jamani wadau yeyote ambaye anajua kuhusu NBAA.maana mimi natakujiunga maana nina diploma.sielewi nitakuwa stage ipi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, katika mwaka huu 2013/14 wamewaacha wanafunzi wa sheria LLB na kuchukua tu wanafunzi waliomaliza BALE yaani usimamizi wa sheria na utekelezaji ambao wamespecialize kwenye upolisi.rai yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie hivi katika shule za serikali shule gani ni the best katika performance?
0 Reactions
91 Replies
16K Views
  • Closed
Ni mda wa takribani mwezi sasa yale matoke yaliyokua yakisubiriwa yameachiwa watu kama kawaida kusaidiana kuyapata hata mimi yangu sijapata but naamini ntachomoka hata kwa mbinde. Kumekua na uvumi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jamani 2juane
0 Reactions
39 Replies
5K Views
jamani mbona mlochagulia na chuo hiki mmepoa sana? hebu jitokezeni tujuane for kampani! hebu nicheki kwa 0767182142 tufahamiane wa ngalamtoni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom