Shule bora ya serikali

Mbwiga88

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
642
142
Wanajamvi naomba mnisaidie hivi katika shule za serikali shule gani ni the best katika performance?
 
Tabora boys kichwa cha tanzania, special skuli ya kwanza tanzania ,kisimiri na kibaha mzumbe wameibuka miaka ya karibun
 
kama ni serikali hakuna iliyo bora ni MWANAFUNZI ndio atakua bora, pia inategemeana unauliza kwa O-level au A-level? kama ni A-level ni combination gani?? kwa kifupi huwezi pata jibu sahihi kwa ilo swali..your are too general
 
Egm-tosa,minaki,pugu,marasec.klf-mirambo.hgl-tbrboys,mzumbe,ilboru.hkl-malangali,kisimiri,mirambo.
 
Wai...apo nakataa...nilisoma Old moshi sec tukapiga one nzuri tu...a level tulipiga same sec na one nzuri zilitoka..mi nadhani if ol factors remain the sem..shule nzuri ni mwanafunzi..na mzazi/mlezi (thsnk God for my parents)
 
Wai...apo nakataa...nilisoma Old moshi sec tukapiga one nzuri tu...a level tulipiga same sec na one nzuri zilitoka..mi nadhani if ol factors remain the sem..shule nzuri ni mwanafunzi..na mzazi/mlezi (thsnk God for my parents)

Nakuunga mkono mkuu
 
shule bora ni ile yenye wanafunzi (wengi)wenye perfomance nzuri hatuzungumzii mtu mmojammoja! aya fananisha kbh na same!
 
Sasa angalia mzumbe wanachukua pcm mwisho aab, same pcm mwisho ccd(o-level) sasa unafikiri unaweza kumzuia mzumbe? Jibu
 
haya same sec pcb mwisho cdd, ilboru mwisho abb(o-level),tabor boys pcm mwisho aab ,mirambo pcm mwisho ccd utashndanaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom