Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwanza kabisa ninafurahia kujumuika nanyi katika Forum hii natumai tutapashana habari zaidi za kielimu, ningependa kujua T.I.A Dar na Tumaini Dar wanaochukua degree mwaka wa kwanza wanafungua lini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nauliza 1st year Stephano wanafungua lini??:help:
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Jaman Wadau Hiki Chuo Mbona Hawatoi Selection Halafu Website Yao Sijue Ikoje Au Ndo mpaka Tcu? Mwenye Kujua Atujuze au Aliewasiliana Nao. Maana tumechoka Kusubiri.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habali zenu.. nauliza kaa kuna m2 m1 anapenda kukaa gheto nami naomba 2juane ili 2jue 2fenyeje coz nxhafuatlia, mie Kdume nmechaguliwa iyo course hapo UDSM ila naitaj kaa gheto,, mie najua dini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Aneyejua tarehe ya kufunguliwa kwa chuo cha NIT kwa fist year (degree)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
You'll never win an argument with an idiot
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Eti wadau iz selection za leo zimejumuisha na walioomba round ya tatu...Msaaada
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wale wote waliokuwa wameomba tcu kujiunga na stella maris majina yametema kwa taarifa zaidi tembelea web ya chuo utayakuta,ni kweli wadau sitanii cm yangu haina uwezo wa kuaplod so angalia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sisi tulio apply kwa equivalent qualification roho zetu zipo juu juu hasa ukizingatia kuwa vyuo vikubwa kama SAUT, UDSM,UDOM vimetoa selections na watu waliopita kwa equivalent wanahesabika, nacte...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
WANAFUNZI VYUO VIKUU MMEWEKWA REHANI. 1.0. UTANGULIZI Mfumo mzima wa elimu hapa Tanzania bado ni changamoto kubwa sana ya kufikia malengo ya kitaaaluma na maendeleo ya kujitegemea kielimu. Mfumo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayefahamu wakuu..
0 Reactions
1 Replies
987 Views
jamaan naomba kufahamishwa siku ya kuripoti chuoni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi wanajamvi ni kweli kua madalaja ya ufaulu kwa o-level na a-level yameongezwa
0 Reactions
1 Replies
997 Views
st joseph university of agriculture sc.&technology waaripot lini
0 Reactions
0 Replies
642 Views
vyuo vingi vikubwa na vidogo vishatoa selection zao lakini chuo hiki ambacho ni kichanga sana bado hakijatoa! What's wrong with this university? Mwenye info zozote hatufahamishe.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu mi nimechaguliwa hio hapo course pale muccobs. naomba kujuzwa kuhusu uwanja wake wa ajira(kujiajiri au kuajiriwa) na inadeal na vitu gani hasa. Nilicheza kamari kene maisha niliiweka ya tano...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Mwenye kujua ukweli wa kuhusu taarifa hizi anijuze jamani,zinasikitisha ukizingatia ni shule ya seminary.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutokana na kuchaguliwa Business communication & it (muccobs) ambayo ni ya mwisho kuichagua james malya anaomba msaada jinsi ya ku-appeal tcu au vigezo vinavyozingatiwa kubadilisha faculty vyuoni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
niko mza nimechaguliwa st joseph university of agriculture, chuo kiko songea, BACHELOR OF TECHNOLOGY IN AGRICULTURE - vp facult iko fresh au nifanye mipango ya kubadili, tafadhali elders naomben...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom