Waungwana huyu jamaa vp,mbona cmuelewi yaan madogo wamemaliza juzi tu wakati tunawaona leo matokeo yao yanatoka.tuspochukua hatua unaweza ckia mpaka post zao zinatoka ss bado tunaendelea kusota...
Wana Bodi,
Naomba mnisaidie pengine kunielewesha kwa wale wenye taarifa sahihi kama ule utaratibu wa madaraja wa wa mpaka DIVISION V ndiyo umetumika kwama matokeo ya kidato cha nne 2013/2014 ila...
Mwanangu alimalizia shule ya sekondali ngw'anza lakini , matokeo yake hayaonekani
tafadhari mwenye namba yake ya mtihani ni 14, ameandikiwa hivi *E ... basi
please mwenye kujua naomba...
Japo kwa chini chini lakini wote twajua kuwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo mioyo na roho zao zipo juu pindi wasikiapo neno 'matokeo'hata kama ni ya mpira, roho huruka.Binafsi...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia kutoka kwa wakuu wa shule waliokuwa na kikao na Naibu waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi hapo juzi Mkoani Iringa, mhe. Jennista Muhagama naibu wa...
Gharama za maisha zimepanda na ushahidi ni wabunge wetu ambao wamekataa 300000 kwa siku, wanafunzi wanapewa 7500 kwa siku haitoshi hivyo serikali pandisheni mpaka 15000 ili vijana wetu wasome kwa...
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndyo hali inazidi kuwa tete, hakuna mwenye taarifa rasmi kuhusu ajira mpya za walimu kwa TAIFA ambalo lina upungufu mkubwa wa walimu na mipango kadha wa kadha ambayo...
matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa...
WanaJf ee! Nimetembeza macho yangu weeee! kwenye net sijafanikiwa kuona Notes au Past papers za CPA(T) za NBAA (National Board of Accounting and Auditing), Labda nimeona za ACCA TU Hapa, but...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimetunga kitabu cha riwaya ya Kiswahili. kinaitwa 'Hii ni Dunia' ninaomba mawazo yenu namna ya kuchapisha kitabu hicho na namna ninavyoweza kupata udhamini juu...
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa...
natafuta title la dissertation yangu ya masters, napenda ni deal na mazingira katika oil and gas industry, kwa wadau mlioko katika sector hyo naomben msaada kuni alert matatizo makubwa ya...
Ni chuo cha usimamizi wa fedha. Hakika nichuo achacho kinatoa elimu bora kwani mambo yake mengi yapo"organised" Tangu kimeanzishwa mwaka 1972 under the Act of the parliament no 21 kimekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.