Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mwaka 1967elimu ya kujitegemea ilianza,na tujadili hadi elimu ya miaka hadi 2005,je ipi ni elimu bora na iletayo maendeleo ukilinganisha na elimu ya leo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
mtakumbuka kuwa mheshimiwa naibu waziri wa fedha mwaka jana aliisifia serikali kupita kiasi kuwa inachapa kazi kwa kile kilichoitwa kustandardize matokeo. Leo hii ona matokeo ya wanafunzi...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Wadau hivi credit za advance sahizi zimekaa vp? je ni D, C, B or B+ msaada jamani watu wanataka wasome tuisheni but big result bado haieleweki kwa wengi
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Habari zenu wadau Ukiachilia mbali kasoro mbalimbali za matokeo ya kidato cha nne,ambazo binafsi sizishangai sana maana elimu ya sasa nchini kwetu imekuwa ni siasa. Binafsi swala kubwa...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa kufanya vizuri katika matokeo yenu yaliyotangazwa jana.hongereni sana. Pili napenda kutoa ushauri wangu wa hiari kwenu juu ya mambo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa JF nachelea kusema kusema kuwa NECTA wameturudisha kulekule mwaka 2012.Namaanisha kuwa kuna watoto wamepata point zinalofanana lakini wanatofautiana daraja yaani DIVISION Mfano katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naomba kwanza nieleweke kuwa naandika haya kwa nia njema. Ukifuatilia shule nyingi chini ya mwamvuli wa dini ya kiislam hazifanyi vizuri. Naomba tujadili ni ni kikwazo ili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hey wana JF nina mdogo wangu kafanya mtihani wa QT amefeli, eti hawezi kuruhusiwa kufanya mtihani wa form 4. naomba mnijuze.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada kwa hili, mdogo wangu ni mmoja kati ya waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2013, sasa nimeangalia matokeo yake yameonyesha kama ifuatavyo, CIVICS C...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu., nilikua nafuatiria maswala ya scholaship wakaniambia nitafute chet cha kiingereza na pasport ya miaka kumi kwenda nchi yoyote, sasa shida inakuja jinsi ya kupata cheti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Pita pita zangu na kupekua nimekutana na hii kitu imenivutia sana na nimetest iko vizuri,kazi nzuri vijana tutafika tu; Namna ya kupata matokeo katika simu ya mkononi bure bila kulipia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Eti kama umepata C 3 labda na D 3 ikiwa na combination hazija kubali vipi unaweza kwenda #ADVANCE ( Private ) , Msaada jaman kwa Anaye fahamu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi, Ndugu wasomaji wote. Tunaposema mambo ya udini,wale wanao kuwa wanataka kubadilishana vituo ili warudi kwao huwa wanataka nini? Walimu walio wengi huomba kurudi kwao ili mwisho wa siku walimu...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Eti kama umepata C 3 labda na D 3 ikiwa na combination hazija kubali vipi unaweza kwenda #ADVANCE ( Private ) , Na je ni Shule gan wanazo kubali hizo C 3 na zipo wapi?? Msaada jaman kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Haya ni maajabu nan tumuamini kwenye ELIMU? PR.SMCHOME aliutangazia uma kuwa kiwango cha madaraja ya ufaulu kimenyumbuliwa, IKAPINGWA NA JAMII HON:MULUGO akaikataa pale bungeni na HON:LUKUVI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi elimu hii itakuwa na mapinduzi ya kifikra panapo 2025
0 Reactions
2 Replies
996 Views
kwanza niwape hongera kwa kumaliza form 4, pia hongera kwa wale wote waliowawezesha nyie kufika hapo wazazi, pamoja na walimu, nachotaka kuongea na nyie hapa nikuhusu haya, matokeo yenu ambayo...
10 Reactions
49 Replies
36K Views
Yupo kijana mmoja kapata Div.0 ya point 43 yenye D-1, E-4 na F-2 ambapo D=5pnts, E=6 na F=7. Hapo utaona mantiki ya kuwepo kwa Div5. Kwa kuwa NECTA wameongeza alama za 'B+' yenye pointi 2 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Seriously am running with the family causatives and comfricts amang themselves leading me to seek out responsors of paying my collage fees. Throught ICT empowering [information and communication...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom