Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mimi ni Mwalimu wa secondari nimepangwa kufundisha mkoa wa (SINGIDA-MKALAMA), nahitaji kwenda mkoa wa DAR au PWANI, hivyo kwa yeyote anayehitaji tubadilishane vituo au hata kama kuna mtu unamjua...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
China:flypig: EVALUATION Senior High School Entrance Examination (Chuzhong Huikao) Considered to be between GCSE and GCE A level standard. Those students with high grades may be considered for...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf, naomba msaada wa taarifa za gharama, mahali na hatua zote za kupata international english language test certificate ( IELT) na passport.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta tuition nzuri kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza wilaya ya ILALA au TEMEKE. Tafadhari ndungu zangu nisaidieni nahitaji msaada wa haraka. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Urais SAUT, Saimon Philibert aibuka kidedea Ajizolea kura lukuki uchaguzi watawaliwa na amani Ndugu Saimon Philibert mwanafunzi wa mwaka wa pili kutoka katika kitivo cha sanaa ya elimu (BAED...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwezi November Bodi ya mikopo pengine kwa kuona imeishiwa fedha za kulipana posho zao ikatunga habari kuwa wale wote ambao wamekosa mikopo ila wanadhani walistahili kukopeshwa na au wamepata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mazingira magumu ya waalimu yanaanzia kwny college wanazosoma jamani,hapa MUCE no water,leo ni siku ya pili,afu kama wiki hivi Mhe.Hawa Ghasia alikuja hapa chuoni....japo wanachuo wng hawakulijua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Vijana sasa kama kawaida no discussion.... week ijayooo kuchomoaaaaa
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Thursday, March 20, 2014 New law allowing polygamy passed 2 Comments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takribani siku tatu zimepita tokea post za ualimu zitangazwe na tamisemi,ila kinachonishangaza ni kutokupangiwa vituo vya kazi wanafunzi waliosomea shahada ya sana na ualimu katika chuo cha St...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
je wew ni mmoja wapo wa wale walikosa post za ualimu(diploma) kama upo tayar na unataka kuajiriwa naomba tuwasiliane 0764616352 NB.mkono mtupu haulambwi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali ya kusikitisha serikali imewatelekeza walimu wanafunzi wa vyuo vya ualimu vya CHETI pamoja na Stashada ambao wapo kwenye mazoezi ya Muda mrefu ya kufundisha (BTP). Tarehe 3 mwezi huu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
hapa, nilipo nipo sekomu, takribani wanafunzi 100 wapo kat(ika hekaheka za supp and special, shida ni kwamba wengi wao hajaweza kufika kufanya mitihani hiyo kisa pesa board hawajaleta ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I am doing masters in mba. I request any one who knows the website where i can get research papers on the above subject to assist. Please help. Thank you in advance
0 Reactions
6 Replies
800 Views
Hamjambo wana JF?Katika upembuzi wangu niliofanya kwenye hizi ajira za Walimu nimegundua kwamba,walimu wa masomo ya Sayansi kama vile Physics,Chemistry,Maths na Biology ni wachache sana!Hii ina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi... Nmekuwa nikipatwa na maswali mengi juu hii kitu kinachoendelea kwa wanafunzi wa sekondari hususani kwa wasichana wa shule za mjini. Nashangaa kuwaona wakienda shule wakiwa hawana hata...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Haya wana JF naona watu wanatafutana sana hasa wale wa mashule...akina YOYO na IST!!! sasa basi wale wa Minaki Sec aka mlima kinyanyiko au watoto wa Mjale (RIP) mpo?!
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Wakuu naomba msaada wenu wa mawazo kwa hili, Mtu mwenye Bachelor ya education BAED anaweza kusomea hiyo kozi ( tajwa hapo juu) na ikaja kuwa na maslahi baadae kwake?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani naombeni nifanyeje nipata kurudi xkul nilihitimu kidato cha 4 2008 nikashindwa kuendelea kutokana na kukosa karo ya shule
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Back
Top Bottom