Mimi ni graduate Bsc. Education nafanya kazi part-time katika shule moja hapa Mwanza.
Natafuta vijana wa O'Level na A'level wanaotaka tuition.
Wahi nafasi ni chache.
Nitafute: 0755 42 88 33
Nina mdogowangu alipata div.four ya 40 Ana c yakiswahil d ya English f ya mathematics na e ya hist, na geog.
Nisaidieni wazo asome nini nawapi? Jatakama ni intake yanext year nisawa.
Kureseat...
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu je, tuna wasomi wangapi wenye ngazi ya udaktari wa falsafa (PHD) nchini Tanzania? Vipi kuhusu idadi ya Maprofesa wako wangapi? Orodha hiyo ijumuishe hata wale...
Habari za leo.
Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo. Naomba mnisaidie sentensi katika kingereza nikitaka kuuliza yafuatayo
Nataka kumuuliza baba yangu kuwa mimi ni wangapi kuzaliwa nitauliza je...
Ilikuwa mida ya saa nne asubuhi pale mwili wa marehemu jerome william pallanjo ulipoletwa freedom square ukipokewa na wanafunzi wenzake hasa wanadarasa lake la Bsc.agricultural economics n'...
Salaam zangu kwa wana wa jamii forum
swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical
Najua huku wapo watu wenye kupata taarifa za uhakika,tafathal nijuzen ajira ya ualimu awamu ya pili yatatoka lini mana mwanzo nimekosekana,pls mwenye taarifa anijuze
wakuu naombeni mnipe info zaidi kuhusu ubora wa elimu inayotolewa, mazingira ya kusoma na ada zao zikoje mi nataka nipige dip ya clinical medicine Kwa matokeo yangu bios c chem c na phy d muda wa...
Kwa mtazamo wangu,elimu ya Tanzania sio elimu ya kujiajili mbali kuajiliwa hivyo basi hatuwezi kushindana na nchi mbali mbali katika nyanja ya maendeleo hususani katika sayansi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.