Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu habari zenu! Kutokana na tatizo la ajira kuwa sugu Tanzania na hata dunia nzima, na kupelekea vijana wengi kubaki mitaani na wasijue cha kufanya, na kwa sababu vijana hatukua na umoja wa...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau nataka kujiandikisha OUT mwaka huu. Vipi ada zao Sh ngapi kwa undergraduates? Registration fee Sh ngapi mwaka huu. Hiki chuo kinatufaa sana wafanyabiashara. Je kuna kozi za diploma?
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Wanajamvi kuna tetesi kuwa vyuo vya ualimu vitakuwa vinaendeshwa na NACTE.Kama kuna yeyote mwenye kujua taarifa kamili naomba azimwage ili tujue nini kinajiri. Pia ningeshauri kuwa vyuo vya ualimu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu nina mtoto wa marehemu kaka yangu msichana amefeli kidato cha nne, amepata zero. Nataka nimuendeleze kuanzia certificate naomba maoni yenu, kozi ipi itamfaa, yeye anapendelea nursing na utalii
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Nimekuwa nikijiuliza kwanini mabinti wengi wanachukia somo la hisabati?. Katika kusoma kwangu O-level (additional math) mwanamke alikuwa m1 kati ya wavulana 20. A-level (PCM)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi. Siku hizi utasikia "Sayansi ya siasa" , "Sayansi ya Jamii" nk. Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na Sayansi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kunamtu kaniambia eti wale wanao subiri application za vyuo vikuu (TCU)waanze kufanya iyo process sasa sina uhakika kusiana na ilo. Tunaombeni msaada kama kuna mtu aliye sikia ilo atujulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By DAILY NEWS Reporter, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 111 ARDHI University will on Saturday mark another milestone in the country’s education profile when new six degrees...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wana jf,.ni matumaini yangu mu~wazima. ..nia na dhumuni la kupost hapa, ninaelewa hapa jf tumekusanyika watu wengi na mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti!!..naamini pia kuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nataka kujua ndugu zangu,mtu aliesoma degree ya mathematics huwa anakuwa nan au anafanya kaz gan?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
wana jf aman kwenu,naomba mnijuze hili,kuna tofauti gani ilyopo kati ya kuapply kwa equivalent qualification kwenye sehemu iliyopo web ya TCU na ile iliyopo kwenye web ya NACTE au ni kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu kuna mtu anauliza hapa akasomee ipi ambayo iko marketable sokoni sio kuajiriwa tu hata kujiajiri mwenyewe nawasilisha Ningemjibu ila bado sijafika uko asante
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jamani hivi kama nina degree ya Baed naweza somea masters ya kitu gani ukiacha education kuiyunga tenaa?please naomba mnijibu.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba nisaidieni ilo swali
0 Reactions
23 Replies
3K Views
I was a pupil in Mosh Technical Secondary School in mid 80s, and we were doing pretty well academically. I've bee terribly shocked by CSEE 2008 examination results just released. Can someone...
0 Reactions
19 Replies
12K Views
1. One day, a person went to a horse racing area. Instead of counting the number of humans an horses, he conuted 74 heads and 196 legs. How many humans and horses were there? A. 37 humans and...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mwenzenu nilimaliza diploma mwaka jana,mwaka huu nataka kuendelea na degree sa sijui tcu lini wanaanza kupokea application,naomben mni-update zitakapokua tayari,maana kila nikicheki mtandaon...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Mimi ni mgeni katika haya majukwaa,nilikuwa naomba msaada wenu wa kupata listi ya shule zote za sekondari na maeneo zilizopo(nikimaanisha wilaya na mkoa) ntafurahi zaidi kama...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Hivi GPA ambayo ni ndogo yenye haueni ni ngapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mtu anayefahamu website ya chuo chochote cha kilimo kilichopo morogoro kwa ngaz ya cheti anisaidie.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom