Moshi Tech Sec School - What has gone WRONG?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moshi Tech Sec School - What has gone WRONG??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba_Enock, Feb 12, 2009.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  I was a pupil in Mosh Technical Secondary School in mid 80s, and we were doing pretty well academically. I've bee terribly shocked by CSEE 2008 examination results just released.

  Can someone assit me here, to confirm if this is the very same "Tech" or it was renamed and changed all together? I truly can not imagine what is happening on that school.

  See the shocking results below:

  P0135 MOSHI TECHNICAL SEC. SCHOOL CENTRE

  I believe this trend is not the same with sec schools!

  God Help US - God Help the United Republic of Tanzania

  Amen
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Mkubwa hata mimi nimeshangaa mno, Olevel miaka ya nyuma walikuwa wanafaulu but hii sijawahi kuona Moshi Tech
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kweli inasikitisha. Shule za serikali zilizokuwa zinafanya vizuri nyingi zimeporomoka sana. Kumbukeni Umbwe, Old Moshi Secondari, Kibaha, Ilboru, etc. Siku hizi shule za private ndo zinaongoza wakati kule miaka ya nyuma private nyingi zilikuwa nyuma sana. Nahisi wale walimu wazuri wa Government schools wamesha retire na waalimu vijana wanataafuta green pastures in the private schools. Mishahara ya waalimu ikiboreshwa na maslahi mengine, waalimu will be attracted to work in public schools na changes mtaziona. Lakini kama mambo yenyewe ni mpaka wagome, hata ile nauli ya likizo ni tatizo je nana atakubali kubaki public schools.

  Jambo lingine, kutokana na kufeli huko na kukosa waalimu wazazi wengi watoto wao wakifaulu kuingia shule za government wanapelekwa shule za private maana huko ndiko kuna waalimu (at least zile ambazo ziko serious). Hata ndugu zangu wengi watoto wao wamefaulu but wamepelekwa private. Sasa basi kwa kuwa waliochaguliwa wengi hawa report ndipo basi utakuta kuna second selection ya form one of whoever anayekaribia karibia point za kuingia. Wakati ule ukifaulu umefaulu na ni lazima uwe kichwa na hakuna cha second selection. Wengi waliokuwa wanakosa kuchaguliwa basi walilazimika kuingia private schools so unakuta cream yote ilikuwa inaingia government schools.
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe wewe vipi bwana umeangalia matokeo ya Private candidate arifu P 135 angalia ya vijana mafundi S0135
  zeri nyiingi sana vijana wanakunywa mbege sana wapunguze.....
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu Yo Yo,

  Ahsante sana kwa clarifications, japo si mazuri sana lakini afadhali .. nilipatwa na mstuko sana! Zile enzi za 87 ulikuwa ukipata Div II unaonekana mzembe sana au ulikuwa unaendekeza sana "top-layer"!
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu matokeo ya mitihani kidato cha nne ni mabaya sana kwa shule za serikali moshi tech. ikiwa mojawapo. ingawa ni kweli kuwa hii ni mojawapo ya shule za sekondari zenye historia kubwa sana katika nchi hii, hayo matokeo ya kuwa na div.I- 19 si ya kusema kuna afadhali hata kidogo. Nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 90 nilipokuwa pale ilikuwa tunashindana kila mmoja kupata div. I, halafu div.I-7 ilikuwa ni jambo la kawaida pale shule yetu ufundi!!!
  lakini sasa mambo yamekuwa vululu vululu.
  serikali inajifanya kupiga siasa badala ya kushuighulikia matatizo ya msingi yanayoihuisu sekta ya elimu hususan maslahi ya waalimu, tusubiri tu muda si mrefu tutaendelea kushuhudia matokeo mabaya ambayo hayajawahi kutokea katika nchi hii.
   
 7. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ...tatizo mojawapo ni kuwa na walimu vilaza kama Mpande(sina hakika kama yupo) yaani huyu alikuwa anafundisha kwa kiswahili throughout (Painting subject), pia uhaba wa walimu wa baadhi ya masomo, nimeshuhudia enzi zile, mwalimu mmoja wa Chemistry akipewa Engineering Science...anyway naiasa serikali itupie macho mpechuo wa ufundi nadhani umelala sana siku hizi.
   
 8. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Nimesikia Bado yupo jamaa anendesha shule kama Headmaster vile
   
 9. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  What is painting? " Painting is like this......." mjamaa anatoa intro ya somo kwa first year. Jamani shule ni uongozi...wakati wa Mzee wetu Malale na academic master Malisa...shule ilikuwa inaendeshwa kwa busara...watu tulipeta....ukisema natoka Moshi tech watu wanakuangalia mara mbilimbili. Leo DV-1 ziko 19 tu? Headmaster ni usiku wa balaa nini? Kwa kweli mimi humshukuru Mungu kwa kusoma Moshi Tech maana ilikuwa shule nzuri ktk nyanja zote, kimazingira na masomo pia.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Feb 23, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,908
  Trophy Points: 280
  wewe uwe na heshima....(joke)

  Sure it was, it will always be the place to remember!
   
 11. D

  Domisianus Senior Member

  #11
  Feb 23, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Absolutely this is very terrible, this is not Moshi tech of 2000 which I knew, I do remember on 2000, Moshi got almost 70 students who got division one, whats is going around there?
  Is Mpande still there (discipline Master)?
  Real we need changes in Education, otherwise we have finished...........
  I'm highly disappointed with this results and I don't see any direction on the Tanzanian's education.tunahitaji kucharazwa fimbo kama siyo bakora za kutosha.
   
 12. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Punguza jazba shule nyingi za secondary za secondary...za serikari zimekuwa kichwa cha mwendawazimu...shule kama Ilboru,Tabora boys,Mzumbe zinashidwa na seminary...kila mtu mjanja mjanja..hata watu tunao watoa humo nao wanaenda vyuoni wanakuwa wehu tu..mwaka mzima migomi nane...muda wa kusoma utapatikana...

  Mwaka huo wa 2000 nakumbuka kuna kijana alikuwa academic prefect mpaka akapewa zawadi na kupongezwa...sasa ona matokeo...

  Am out Buswelu
   
 13. D

  Domisianus Senior Member

  #13
  Feb 23, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee ni kweli huku tunakoenda siyo kuzuri sana,Cozy I was so flabbergasted with the results of Kibaha secondary school (special), having division zero, so many questions kicked in my head, but with no answers.
  Sometimes we have to appreciate the system because cheating in exams now is like the national hymn, shall we make it?
   
 14. D

  Domisianus Senior Member

  #14
  Feb 23, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes njua Mpande alikuwa kilaza tena wa kutupwa lakini aliweza kwa kiasi kikubwa sana kuwakunja wanafunzi watukutu na ambao walikuwa hawapendi shule, wakati mwingine hata uongozi wa shule una umuhimu wake sana.
  lakini turudi nyuma, kuna nani Moshi tech? kama ni tatizo ni MP, wangefeli soma lake tu lakini mengine wangewza kufanya vizuri, get me.
   
 15. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati ule kulikuwa na walimu kutoka Urusi wakishika Addtiona Maths na Basic Maths Munuo mdogo hapo unahesabu misonge miwili,kisha Koba anashika Engineering science na Kule Electrical tulikuwa na Nyanza na Mjerumani furani hapo pia unahesabu misonge Miwili kwa uraini kama kisu kupita katika siagi,ukiongeza chemistry Mama Makono au Boxer Msonge Mwingine ,unamalizia msonge wa drawing kutoka kwa Kilindo

  Najua sasa kama wapo hao matichas busi wachache
   
 16. B

  Bunsen Burner Member

  #16
  Mar 15, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  bwana eeeh mmenikuna kweli kuhusu Moshi tech, manake ile shule sitaisahau! Nilibahatika to be there between 1978 and 1982. It was a shining example of sucess and will always be my place to remember! Kuanzia wakati wa headmaster Mushi mpaka Malale, Mpande na mchakamchaka asubuhi(sie wa Lumumba na Azimio tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Mpande asubuhi( jamaa alikuwa fiti), Hivi ofisi ya Umoja wa vijana bado ipo na ni ya chama gani pale?Malisa alikuwa ngagari, akina Kombe, top layer kwa Mzee Makabila jikoni na kukaanga bisi toka shambani( next to Azimio etc.), mbege kwa mzee sambege(mradi usikamatwe), ku sunday face kule Weruweru etc. but tulijisomea usiku with illegal electrical connections ili kukwepa umande usiturudie! Du maisha tumeishi na sasa wacha tu vijana leo wanapata tabu pale! Probably our alumni and we others outside the country should one day make a reunion to save our beloved school!
   
 17. kamau

  kamau Member

  #17
  Mar 16, 2009
  Joined: Nov 8, 2008
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi niliyaona hayo matokeo nikafikiri ni MTS nyingine sio ile ya zamani,tulipokuwa pale miaka ya 80 hadi tisini ilikuwa target ya students wengi ni div 1 na wengi waliipata,na ungeweza kumwona mtu anavyosoma ukamwaambia atapata div 1 na kweli akapata. Nadhani kwa sasa labda starehe na mambo mengi yameingia ndio maana wanafunzi wanasahau kusoma .Kingine labda waalimu nao hawawajibiki au si wazuri kama zamani, this is so sad and its so depressing for the parents ,i do beleave most of this kids came from low income or no income and they coud afford private schools. Who is the Head of this school right now we need to know,this look like the standard of EDu is going south for this school. Nilipomaliza hapa nilitoka kifua mbele lakini sasa hali ni tofauti.
   
 18. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2009
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kama Mpande bado yupo basi balaa, inamaanisha mchakamchaka wa 5:30AM bado upo!!
  nakumbuka ile lami kuelekea TYL kama ulikuwa ukikaa mkwawa na karume!
  it s real intersting to remember!!
  nahsi sbb ya perfomance kushuka ni le ya kuua shule za vipaji maalumu, sbb enzi zile hii shule ilikuwa ni next choice baada ya wale waliopangiwa Iliboru,Tabora boyz and Mzumbe. Nasikia siku hizi serikali imefuta hiyo sera ya vipaji maalumu, ila kama ni kweli wamechemka ni bora wangeziacha.
   
 19. T

  Tabalo JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2014
  Joined: Feb 10, 2013
  Messages: 235
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Leo ndo mahafali ya form six moshi tech
  karibuni waungwana.
   
 20. T

  Tabalo JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2014
  Joined: Feb 10, 2013
  Messages: 235
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  headmaster wa sasa anaitwa J.B MTEMI ameingia january 2013
   
Loading...