Naomba kuelekezwa jinsi ya kutambua scientific calculator original

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
203
NAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUTAMBUA SCIENTIFIC CALCULATOR ORIGINAL.
maana kesho ndio tunaenda kununua.
Maana kuna duka walisema 58000 lingine wakasema 30000.
 
Kumbe wakati mwingine tunalumbana na watu kama Hawa imagine ndugu yangu Shunie ambao wananunua calculator wakati aidha kuna app ya calculator au built in one
 
Ukifika DUKANI ichukue hiyo calculator then fanya hiv

"BONYEZA SHIFT , 7 ,POWER ON ZOTE kwa wakati mmoja ...IKIKULETEA DIAGNOSTIC AC HIYOOOO NI ORIGINALLLLLLL ORIGINALLLL
ILA ISIPOLETA HIVYO HIYOO SIYO org


Na kuna njia nyingine ni ndefu sana nmeona hii ni rahis mkuu itakusaidia
 
Sisi ndiyo tunakufanya usome na uishi mjini! Pole kijana
wewe na mwenzio nani? mim sikujui wew na wala hamna bin adam mwenye jukumu la kunifanya niishi bali ni allah tu! alaf kusoma hujawahi kunipa hata mia ya shule! wew.
isitoshe wew umeshazeeka unaonionea wivu kisa mim bado nasoma wew hujasoma hata vidudu alaa jiheshim (usichukulie serious nakutania tu grandpa(babu yangu)
 
Ukifika DUKANI ichukue hiyo calculator then fanya hiv

"BONYEZA SHIFT , 7 ,POWER ON ZOTE kwa wakati mmoja ...IKIKULETEA DIAGNOSTIC AC HIYOOOO NI ORIGINALLLLLLL ORIGINALLLL
ILA ISIPOLETA HIVYO HIYOO SIYO org


Na kuna njia nyingine ni ndefu sana nmeona hii ni rahis mkuu itakusaidia
HAKUNA UKWELI JUU YA HILI. HATA UJARIBU HIVYO UNAEZA PATA FEKI. USHAURI WANGU KAMA UKO KARIBU NA ANAE JUA HIZO DIVICE NENDA NAE UKANUNUE. HUEZI JUA KITU NI FEKI WAKAT ORGINAL YAKE HUIJUI...
 
Gawanya namba kwa herufi.
---- 9 gawa Y
Then bonyeza SHIFT -----> CALC mara 2
ikileta can't solve ni original na ikileta math error ni fake
 
Nadhani kuna mtu hapo juu alikueleza kuhusu hii kitu naitumia toka form five mpaka sasa mwaka wa nne chuo
OG
20180324_071805.jpg
 
CASIO
fx-991MS
S-V.P.A.M. TWO WAY POWER

ila kwa ushauri zaidi ukimpata mtu anayezijua poa ndo wa kwenda nae akakuchagulia maana kila kitu original kina copy yake (fake)
 
Dah...Raha sana...mnasoma na calculator..... enzi zetu chuo kila calculation lazima ufanye kwa kichwa
 
Back
Top Bottom