Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username...
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua.
Soma:
- KERO - Serikali...
Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi...
Hello guys,
Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.
Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi...
Habari wana JF,
Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu.
Naona ni...
Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya...
Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe...
Mwalimu: Ndugu mzazi nakuomba uje shule, mwanao anatupa wakati mgumu
Mzazi: Ndugu mwalimu, hata huku anatupa wakati mgumu kuliko ambavyo unafikiria lakini hatujawahi kukuita
Bongo Nyoso..!!!!
Trillion ndio kiasi maarufu kinacho tamkwa sana katika mahesabu ya kawaida ya kifedha na namba.
Leo tuangazie majina mengine ya fedha na namba ambayo sio maarufa sana tukiacha ile maarufu kabisa...
Naomba mnisaidie nini tufanye ikiwa darasani kwetu karibia wanafunzi wote wa diploma hatujawa verified NACTE.
Chuoni tunajitahidi kufatilia tunaambiwa tusubiri tu mpaka dirisha lifunguliwa na...
Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na...
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa...
Hivi tunavyofanya application ya diploma kupitia nacte je ni chuo husika ndo kinachagua wanafunzi au nacte ndo wanakupangia chuo kama ilivyo kwa advance?