Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Leo, tarehe 14 mwezi wa tatu ni siku ya Pi (3.14159265359). Je, wewe umeisherehekeaje siku ya Pi? Mimi ndo nimetoka Mathnasium sasa hivi ambako bi mdogo alikuwa na activities kibao za hisabati...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mwenye kitabu cha Bible Knowledge kidato cha kwanza mpaka cha nne naomba anisaidie namna ya kukipata. Nipo Kahama.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je, ni kweli necta form six ni March sio May tena?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta mtaalamu wa kuandika Academic Proposal ya kurasa 30 katika masuala ya elimu. (Iwe na background, literature review na methodology). Materials yote ninayo na utafanya kazi ukishirikiana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachuo wa sheria mwaka wa tatu na wa mwisho nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya options ya insuarance law na human rights ipi niisome najua wazi kuwa nikifika law school human rights...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanakijiji,Naombeni msaada kujua utaratibu wa kujiunga na S econdari ya St.Mary Goreti ndugu yangu amemaliza form four anatafuta shule nzuri ya kuendelea A level.Akhasanteni nawasilisha.
0 Reactions
25 Replies
22K Views
natafuta mtaalamu wa kuandika academic proposal ya kurasa 30 katika masuala ya elimu. (iwe na background, literature review na methodology). Materials yote ninayo na atafanya kazi bega kwa bega...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa msomaji mzuri wa riwaya, tamthilia, mashairi na kazi nyingi za fasihi kwa kipindi kirefu sasa (sikumbuki siku sahihi niliyoanza). Nimekuwa nikifurahi zaidi kusoma...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za shughuli wadau nilitaka nifahamishwe juu ya hili : nasikia ili kuhairisha masomo chuoni kama umeshasoma lazima uandike barua chuoni sasa ni utaratibu gani stahiiki unafuatagwa chuoni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
yani waalimu walio kazin wenye cheti na anaitaji kwenda kuchukua stashahada, diploma, afanyaje? maana naskia vyeti vimefutwa na vyuo vilivyokua vinatoa vyeti sasa vinatoa astashahada, kwa mwenye...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Miaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo. Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Wana jamvi naomben msaada wa kujua organisations mbalimbali znazojihusisha na,mambo ya tafit au utoaji wa elimu juu ya elimu maalum (SPECIAL NEEDS EDUCATION). Nahitaji ambazo zinadeal na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HATUA ZA KUPATA UDHAMINI UGHAIBUNI (3) Ada ya Maombi ya Udahili - Application Fee NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.) CALIFORNIA, USA Leo hii katika hatua za kupata udhamini...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
habari? Kwa wale wanachuo wa vyuo vya ualimu vip kuhusu tetesi za kwenda B.T.P(Field)?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kwa mwenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics,kwa dar es salaam.tuwasiliane PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni vyuo gani vinavyofundisha jonalism{uandishi na utangazaji wa habari}na ada zao inakuaje???
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Msaada wakuu ninahitaji kujiunga na chuo facult ya medicine ngazi ya stashahada ila kwa sasa ni mwalimu na nategemea huo mshahara unisogeze hadi nitakapomaliza chuo. Swali je, naweza kujiunga na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Invalid posts ID misused by another user
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hey Guys ningependa kufahamishwa kuhusu mtu mwenye Bachelor of Arts in Philosophy anaweza kufanya masters ya aina gani na gani. Msaada Wakubwa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Je una mtoto mwenye umri kati ya miaka 0-12? Na unampenda? Ungependa apende kujifunza na kuwa makini na mahiri katika elimu? Tuna kitu cha kumfanya awe hivyo na ni hiki hapa, kutana na programu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom