Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

jaman me nmechaguliwa same sec high school kwa anae ifahamu iyo shule naomba anieleze ipo vip na ufaulu wa shule na pia michepuo ya sayansi ipo?
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Mimi ni mwanafunzi wa form six ninayesoma mchepuo wa HGL. Naomba kuuliza kuhusu kozi nzuri za kusoma nikifika Chuo Kikuu kulingana na masomo ambayo ninasoma kidato cha tano na cha sita (advanced...
0 Reactions
28 Replies
35K Views
Habari Tanzanian, Natafuta partner wakufanya nae discussion ndugu wahasibu wenzangu. Nipo Dar es Salaam napatikana kwa namba za simu 0759515730 Tafadhali tushirikiane
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wa mawazo me mwanafunzi wa mzumbe mBeya wa BAF nataka niapply field kwenye izi big 4 audit firm hasa EY and Deloitte vp kuna uwezekano kupata na vipi kuna benefits gani kwa mwenye ufahamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF naomba kufahamishwa walioomba vyuo vya ualimu majibu yanatoka lini? Na wanaosoma vyuo vya ualimu diploma masomo ya sayansi wanapata boom na kulipiwa ada?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habari za mda huu; mm ni mhitimu wa bachelor of commerce in accounting(UDSM) ninahitaji kufanya mitihani ya ACCA,nipo dsm...naomba kujua gharama zake na mahali husika. pia kama kwa mtu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
wakuu nimeingia mtandaoni na kukuta kuw majina ya kujiunga na kidato cha 5 tayari yameshatoka ila tatizo cm yangu hainauwez wa kufungua pdf. so naombeni mniangalizie jina hili tafadhali kama nalo...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
kipindi cha miaka mitano ya JPM mambo mengi mazuri yamefanyika kama vile "Tumeweza kurasimisha vijiji 86 vilivyokuwa ndani ya hifadhi, na tumeweza kuondoa kero ya muda mrefu ya migogoro kati ya...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Great ones, Naomba kwa anaefahamu anisaidie hili; kipi ni kima cha chini kilichowekwa na Serikali kwa wafanyakazi wa kuhudumu (waiter/waitress) wanaofanya kazi kwenye hoteli yenye nyota nne au...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za jumapili wakubwa! Katika harakati za kuboresha carer yangu, nimekutana na hii kitu ACI The Financial Markets Association, nimejaribu kufuatilia sehemu ambazo wanapatika hapa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Kibaha secondary mchepuo wa PCB . Naomba kujuzwa endapo nkipata dvs3 ni kozi gani za afya naweza kuomba ili nichaguliwe kwenye chuo hicho...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kuna huyu MTU anatafuta shule ya private Arusha nzuri yenye combi ya HGK ada sio tatizo msaada tafadhali.
0 Reactions
63 Replies
14K Views
nisaidien kujua nataka kusoma postgraduate ya sheria,napenda kujua ni kwa muda gani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umri wa Michael ni 3/5 ya umri wa mama yake. Ikiwa miaka 20 iliyopita, umri wa Michael ulikuwa 2/5 ya umri wa mama yake wakati huo. Tafuta umri wa sasa wa Michael. Wadau karibuni tupanue mawazo.
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Habari za kwenu wadau! Naomba kuuliza kama NACTE wameshatoa majina ya walioomba mafunzo ya ualimu awamu ya pili,," maana nacte baada ya kuongeza muda wa kutuma maombi walisema watayatoa mwanzoni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi Msaada kwa yeyote anayejua qualification za kujiunga na kidato cha tano kwa matokeo ya BRN,Mara ya kwanza ilikuwa C tatu tu,sasa C imeshuka thamani,madogo wanaingiaje?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
kwa matokeo haya ya kidato cha sita nitaweza kusomea faculty gani chuo kikuu?? Bios-D Chemistry-E Phys-F Bam-S Natanguliza shukrani..
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Naomba kuuliza ni taasisi au kampuni au mtu binafsi anaweza kutoa msaada kwa mtu aliepata admission ya kwenda kusoma diploma ya land suryey(GEOMATICS). Kwa mkatabata ili badae aje afanye kazi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habar za wikend wakuu....naomba kujua hatua/procedures znazomfanya mtumish ajiunge na chama cha wafanyakaz particulary in public organization..coz sheria inatoa uhuru wa kujiunga s.9 of ELRA lakn...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi hebu nipeni ushauri combination zangu hazija balance vizur sasa naombeni ushauri wenu niende chuo ama ni resett hayo masomo yanayo simamisha combination
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom