Nawasalimu wote humu ndani!
Mimi ni mgeni naomba mnipokee, japo mara nyingi huwa napita kusoma.
Naomba msaada kwa wanaofahamu jinsi ya kujiunga na Post Graduate ya Education , Open University...
Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili Walifurika Leo Makao Makuu Tamisemi Dodoma Na Katika Tawi La Tamisemi Daresalaam Wakilalamika Kuachwa Kwa Mara Ya Pili Tena.. Unadhani Nini Tatizo?
Au...
Jamani, sie walimu wapya tunapewa lini hela ya kujikimu na mshahara wa mwezi wa tano? Maana tumeshariport kazini, hali ya kiuchumi sio nzuri, tunaomba kufikiriwa.
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na institute of social work sasa hiki chuo hakina course hata moja ambayo ni priority sasa akijiunga na hiki chuo si ndio majanga.
Kakipenda but ndo hvyo...
AFRICAN BRIDGE TO EDUCATION
By Alex John Luketa
Virginia International University students and alumni are passionate about business, technology, innovation, and bringing change to their...
Jamani kumekuwepo upotevu wa nyalaka,vyeti na mafaili mashuleni na vyuoni sasa jambo hili lifikie mwisho kwa kuhifadhi nyalaka kielectronic na sio mafaili tena,tunalitegemea hili kufanikiwa chini...
wadau tuwafichue na kuwataja watumishi wa vyuo mbalimbali ambao wamekuwa ni kero kwa wanafunzi kusoma na kujipatia elimu iliyo bora...m nlisoma ifm jamani watumishi wa pale wanaringa kama...
Habari wakuu,nakusudia kumpeleka mdogo wangu ajifunze vizuri kiingereza cha kuongea na kuandika.Naomba ushauri wa sehemu gani nzuri naweza kumpeleka ukiaachana na British Council.Pale nimeona...
Kama kweli tunajivunia kuwa na vyuo vikuu vingi na tunatoa wahitimu wengi kila mwaka, inakuwaje sasa mambo hayaendi vizuri hasa kimaendeleo hapa nchini Tanzania?
habari zenu wakuu,ninatatizo moja hapa linaniumiza kichwa mno.
suala ni kwamba nimemaliza diploma ya Computer Science and Engineering
na ufaulu wangu ni 3.3GPA.Mwaka huu nataka kuapply bachelor...
Najua humu kuna walimu wa ngazi mbalimbali na wenye elimu na uzoefu kutoka seheme mbalimbali. mimi ngependa kujua kwanini taaluma ya ualimu ni tofaut saana na taaluma zingne kama sheria na...
Wana Jf, habari zenu. Niko katika pilikapilika za kutafuta chuo cha certificate kwa ajili ya mdogo angu. Sasa nikawa nimefika Tengeru Arusha ili kuchek uwezekano. Baada ya kufika Tengeru...
Join us July 27 August 14, 2015 for our Summer Institute in Management and Business Administration!
This program is our flagship summer program aimed at providing participants with...
Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
Habari wadau?
Nimekaa nakutafakari mwenendo wa serikali yetu hii tokea mwaka huu 2015 ulipoingia. Mwanzo kabisa walikuwa wakisua sua kutuajiri kwa kile kilichoelezwa kuwa serikali haina pesa za...
nawezaonganisha soma dip one hapa nko certifcate ya librarianship je naweza omba kwa kutumia matokeo ya semister 1 coz bado cjamaliza semister ya mwisho nna matokeo ya semister one tu, msaada vyuo...
ICT in Education cannot and should not be divorced from the larger national development strategy including schools.
Nyie wadau wenzangu mnasemaje katika hili??:A S-rap:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.