Ushauri/Msaada Wenu Jamani

mmwamba

JF-Expert Member
May 18, 2014
236
235
habari zenu wakuu,ninatatizo moja hapa linaniumiza kichwa mno.
suala ni kwamba nimemaliza diploma ya Computer Science and Engineering
na ufaulu wangu ni 3.3GPA.Mwaka huu nataka kuapply bachelor ya Petroleum Engineering
pale UDOM.sasa kikubwa ninachotaka kujua ni Je, ninaweza kupata iyo course nikiomba
au nitakosa kutokana na mimi kusomea computer??!!

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom