Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

TANGAZO OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI) AJIRA MPYA YA MAFUNDI SANIFU WA MAABARA NA WALIMU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2014/15 A: Orodha ya...
3 Reactions
234 Replies
75K Views
wale wengine tuendelele kuvuta subira kutokana na kusitishwa kwa orodha yetu. Tafadhali msiwe na haraka hadi marekebirho yakamilike. Huu ni mtazamo wa wangu kwa sababu tamisemi haijaweka wazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani eee,, kunajamaa zangu wanaishi Majengo Dodoma na Jana walienda pale Tamisemi kuuliza kama waliokwisha ona ajira na vtuo vyao waende tar. mosi kuripoti au wasiende. Jibu walilopewa ni hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna mwalimu alieenda Tamisemi hebu tupeni feedback ya huko hasa wale walioclear supp zao watapata ajira au ni au wafanyeje ili kupata ajira zao. Nawasilisha Karibuni
0 Reactions
37 Replies
6K Views
habar wakuu. wizara ya kilimo kupitia website yao www.kilimo.go.tz wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma kwa general agriculture vyuo mbalimbali vya kilimo vya serikali
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kwa kutumia cheti cha foundation open naweza kujiunga na degree chuo gani tofauti na open
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Jaman naomba mwenyekufaham yalipo majina ya waliochaguliwa kwenye maabala za shule za sec au vyuo anijuze maana natafuta kla sehem lkn siyaon
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nimekutana na walimu tarajali wa5 wakasema hawajapangiwa vituo. Ni kwa nini Diploma wengi wameachwa na hasa waliosapua wote. Wanadai wataajiriwa wa7.Tatizo ni nini wadau.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba msaada wakujua kuwa chuo kinatambulika na TCU au la. Chuo ni cha India kinaitwa Assam Don Bosco University. Anayejua please help. Thanks in advance.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Morning wana JF naomba mnisaidie shule gani nzuri ya wasichana yenye mchepuo combination ya ECA kwani nina mdogo wangu kamaliza form four nataka kujua ana GPA 1.7
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Takribani wanafunzi 15 tulihitimu shahada hii (PHYSICAL EDUCATION) inayotolewa chuo kikuu dar es salaam pekee kwa hapa nchini. Inashangaza kwa TAMISEMI kutoajiri wakufunzi wa vyuo vya ualimu kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya sifa zinazotakiwa ili kujiunga na chuo kikuu huria Tanzania kwa shahada ya kwanza katika elimu(first degree in education).na pia sifa za stashahada(Diploma) ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau nisaidieni.kuna madhara yoyote ambayo MTU anaweza kupata atakapo kiuka kauli ya kwenda jkt.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa yule aliyeweza kudowload ajira za walimu zilizoondolewa kwenye website anitumie kwenye email johnmguli@rocketmail.com
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Ninajiuliza swali hilo hapo juu kwani wizara ya elimu imesitisha ajira za wakufunzi? Kama imesitisha kwanini? je vyuo vya serikali walivyo vipendekeza kuto DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu sheria za elimu zinasemaje kuhusu hili? Hivi ni haki kwa wakuu wa vyuo/shule kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya taifa inayotolewa na baraza la mitihani la tanzania(necta)? Kisa mtoto...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunafanya Admission ya kimasomo nchn India kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katka chuo kikuu Bangalore, kwa course za arts, science na biashara, kwa ngazi ya diploma, degree na masters. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
A Texas A&M University Galveston professor has failed his entire management class this semester for lacking "the competence and/or desire to do the quality work necessary to pass the course,"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mwezi wa pili baada ya matokeo ya kidato cha nne CSEE 2014 kutoka. NECTA wanasubiri nini kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa ili wazazi wajiandae.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom