Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

Status
Not open for further replies.

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,164
jinsi yakuangalia wapi ukapangiwa ingiza neno MPEKUZI kwenye google baada ya apo utaona kipengele kinacho kuhusu. kazi ni kwako!
 
Amesoma shule gani olevel, mi cm yangu ina pdf nimeyafungua
 
Heri kwa wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano. "Ee Mungu, wasaidie Yatima, watoto wa Maskini na Wajane;AMEN"!
 
Hivi ule mtindo wa kujiunga advance mwezi wa pili ndo siku hizi haupo tena huko tz dah ccm wameua kila kitu kila idara majanga.
 
SOMA NA JADILI HII..
Hv!...
Jaman Aa! hv v2ko du!
BRN hao watoto vp skuli?..
je wakifaulu weng zaid mwkan itakwaje?..

{xo!..the govnment should minimize the fees on health sector ,many cjoin in..
so lazma wote wapite advnce!..} >Mt@z@mo 2<

*AU MNACEMAJE WN JF*
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom