Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani mimi natafuta mtu ataeweza kunitanya niwe na mwandiko mzuri ,sikusoma shule sawasawa kutokana na sababu za kiafya,sasa kiujumla sina hati nzuri kabisaaa,nataka mtu atakaeweza...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za mchana. Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Chuo kipo Dar es Salaam. Kinatoa kozi zifuatazo: 1.0. CERTIFICATE COURSE IN HOTEL MANAGEMENT (miezi 9). COURSES : 1.1. Accomodation Operation. 1.2 Front Office Operation. 1.3. Food and Beverage...
1 Reactions
7 Replies
24K Views
Salam WanaJF! Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters...
2 Reactions
2 Replies
490 Views
Naomba kuuliza kwa aliyesomea DIT Bachelor of Technology in Laboratory Science opportunities ya ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Nahitaji chuo ambacho nitafaulu bila usumbufu wa misapu na kusumbuana ,nataka kusoma level ya degree
2 Reactions
22 Replies
965 Views
Nisaidieni nikubwa na hili tatizo la majina katika
4 Reactions
28 Replies
946 Views
Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini?
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu pole na majukumu. Mimi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu natarajia kujiunga na chuo mwezi wa kumi. Naomba natamani kujua kozi gani ni nzuri na yenye nafasi kubwa ya kujiajiri nikimaliza...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu tahasusi ya PCB na nimepata DIV two ya 12 nikiwa na physics D, Chemistry D, Biology D, Bam D, na Gs D Nipo njia panda kwa sasa juu ya kitu...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Ukijaza kozi ya MD, Nursing, and and thw third one you qualify inasema huna sifa wakati una sifa zote kamilifu according to their prospectus and TCU Tatizo ni nini?
1 Reactions
8 Replies
690 Views
Mwanga (According to wave particle duality) Huwa umebeba particles in form of photons na sometime Huwa znakuwa in wave form. Kutokana na kwamba photons Huwa zko in motion all the time ndo inakuwa...
3 Reactions
6 Replies
479 Views
Kama hujasoma chuo cha Public au FBO basi una hasara sana, hapa namaanisha kwa level zote, vyuo vya kati na vya juu. Vyuo vya Private vinajua kutoza ada kubwa tu na kufaulisha wanafunzu kwa...
6 Reactions
6 Replies
721 Views
Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM, Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E, Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari Ndugu wana jamii forum Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4 ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya 1. Political...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mlioanza application za loan board naomba uzoefu wenu maana nimeanza application asubuhi hii lakini mfumo haufunguki
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kuuliza je pale cuhas ada ina lipwa mara ngap ili ikamilike yote?? Au n kwa mkupuo ?
1 Reactions
1 Replies
783 Views
Habari, Naomba anaejua app ambayo naweza kupata vitabu anijuze.
1 Reactions
7 Replies
645 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…