nini tofauti ya school na college kwa level ya vyuo vikuu?

nini tofauti ya school na college kwa level ya vyuo vikuu?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,324
Reaction score
56,062
labda nitoe mfano wa udsm kuna college ya uhandisi,humanity nk,na kuna shule ya sheria na biashara.tofauti ya shule na college ni nini?
 
College muda wowote inaweza ikajitegemea,na inakua na idadi kubwa ya programs na wanafunzi.school ni vice versa ya college.
 
Back
Top Bottom