Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni...
2 Reactions
16 Replies
951 Views
Habari wakuu, Huyu ni binti nilitaka kujua kama mzazi ni kozi gani yenye tija anaweza kusoma , amemaliza kidato cha 4 2023.
1 Reactions
8 Replies
666 Views
JIUNGE NA CHANNEL HII UPATE PAST PAPERS NA MARKING SCHEMES ZA MIKOA YOTE TZ PAMOJA NA MIFUMO YAKUCHAKATA MATOKEO BURE. Channel iko hapa MOCK PAST PAPERS ALL TANZANIA REGIONS
1 Reactions
1 Replies
478 Views
Hizi courses ni bure, unatakiwa tu kujisajili Hapa lazima unatoka uko bomba kabisa na ulichokisomea IT NETWORKING https://skillsforall.com/course/networking-basics?courseLang=en-US CYBER...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Hello habari, Samahan mimi ni binti nina miaka 24 nilihitimu kidato cha nne mwaka 2018 lakini sikubahatika kuendelea na masomo kutokana na hali ngumu ya nyumbani japo matokeo yangu yaliruhusu...
3 Reactions
11 Replies
738 Views
Wadau wa elimu, nahitaji TAHAKIKI ya A-level, pamphlets za masomo mbalimbali haswaa physically geography na science subjects. English kwenye literature
1 Reactions
0 Replies
317 Views
Wadau Salaam, Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua kuhusu kozi ya procurement and supply Inahusiana na nini hasa zaidi
3 Reactions
27 Replies
11K Views
Naomba msaada anaeijua app ya kudownlodia apps nyingine kwenye computer.Au namna ya kudownload apps/software kwenye kompyuta
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wale vijana wa MWAMPAJA ,wale wa SCANDIA,PANGANI,NYANZA natumaini mmejaa hapa JF Mnamkumbuka MGINA-Physics,KAYENGA-Chemistry,URIO-Maths kwa Alevel na kina KK(Kaselenge),Mainoya,Malogo,Mlata na...
0 Reactions
69 Replies
22K Views
Jamani niliarisha masomo baada ya kupata MATATIZO ya KIAFYA saivi nataka nifanye application ili niende CHUO kingine nikasome Tena tatizo no kwamba CHUO nilicho kuwa nasoma wamegoma kufuta jina...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu, naomba mwenye namba za mhusika kwenye ofisi ya RITA anisaidie. Kuna mtu atakosa mkopo wa chuo kizembe
2 Reactions
4 Replies
437 Views
Habarn wan JF ; kma kun mtu ashawahi kupita chuo cha afya bukumbi , eb anielezee kdogo kpoje & huduma zake zkoje
1 Reactions
1 Replies
341 Views
Habarn wan JF ; kma kun mtu ashawahi kupita chuo cha afya bukumbi , eb anielezee kdogo kpoje & huduma zake zkoje
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Ndugu yangu amefanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu kama Private Candidate na kufaulu kwa DIV 3 ya point 13, lakini cheti chake cha O-leve ana ufaulu wa masomo matatu tu yaani ana C za...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni course gani unaweza kusoma endapo ukichukua CBG advance tofauti na afya pamoja na education?
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu Geo D Chemistry E Bio E BAM E Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree. Nauliza je uwezekano wa kwenda...
4 Reactions
98 Replies
10K Views
Habari Wakuu! Nipo Mwaka Wa Kwanza UDSM, Natafuta Mtu Mwenye Room Maeneo Ya Sinza, Survey, Mwenge Au Mawasiliano Ili Tufanye Utaratibu Wa Kuachiana Mikoba. Mwaka Wa Pili Sitaki Nikae Tena...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…