Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,882
10,193
Wale vijana wa MWAMPAJA ,wale wa SCANDIA,PANGANI,NYANZA natumaini mmejaa hapa JF
Mnamkumbuka MGINA-Physics,KAYENGA-Chemistry,URIO-Maths kwa Alevel na kina KK(Kaselenge),Mainoya,Malogo,Mlata na wengine kibao
 
umenikumbusha mbali sana mkuu Belo,nilianzia Scandia store form five,form six nilikuwa nyanza,namkumbuka Msengi,Mgina,Urio Festo,Mlata.
 
Ushi Msaki yupi/wapi
mbona sijakupata
 
Ushi Msaki yupi/wapi
mbona sijakupata

Alikuwa headmaster machachari sana kabla ya Mwaipaja...Mzee Msaki alikuwa anapenda kusema kijana utakwenda na maji single warrant!! early eighties
 
Wale vijana wa MWAMPAJA ,wale wa SCANDIA,PANGANI,NYANZA natumaini mmejaa hapa JF
Mnamkumbuka MGINA-Physics,KAYENGA-Chemistry,URIO-Maths kwa Alevel na kina KK(Kaselenge),Mainoya,Malogo,Mlata na wengine kibao

Mzalendo, Mbona umemsahau Mzee wetu Mr. KAZIBURE?
 
Sisi wa Mzee Msaki msitusahau!!

Haaa haaa na Msaidizi wake Luoga . . . .

Wakati wa mahafali mkiwaalika watoto toka kilakala au vituka na wakati wa kucheza blues au HOLIDAY - BY MADDONA, Msaki alikuwa hataki Zero Distance. Aliwakuta vijana akawaambai HAKUNA KUPENDANA PENDANA HAPA, MTAKWENDA KWENU . . . LOL
 
I think it was one of best schools . . .

Asubuhi Chai ya Maziwa na Mikate ya Siagi

Saa Nne - Chai na Mikate/Siagi

Mchana - Wali/Ugali Kuku

Chai ya Saa Kumi

Jioni - Wali Nyama

Baada ya Class - Michezo . .. I remember Mwl Henry Ramadhani aliyekuwa Mkurugenzi wa Michezo alikuwa Kocha wa Basket Ball.

Usiku Preparations

Kila Alhamisi - Mashindano ya Usafi wa Nyumba nk.

Kweli Elimu ya Sasa ni tofauti sana na enzi zile
 
Haaa haaa na Msaidizi wake Luoga . . . .

Wakati wa mahafali mkiwaalika watoto toka kilakala au vituka na wakati wa kucheza blues au HOLIDAY - BY MADDONA, Msaki alikuwa hataki Zero Distance. Aliwakuta vijana akawaambai HAKUNA KUPENDANA PENDANA HAPA, MTAKWENDA KWENU . . . LOL

Hahahaha mzee umenikumbusha mbali sana, walikuja Ruvu kwenye Disco nakumbuka vijana waliharibu ile mbaya....Kibaha ilikuwa babu kubwa, EK na zile green koti..... evening class na jamaa wa A level bila kusahau Mwanalugali week ends..
 
  • Thanks
Reactions: 911
Nilikuwa Kibaha A level nikitokeaa Tosamaganga.
Kwa ulinganifu Chakula pale kibaha kilikuwa Kibaya sana.Not Fit for human consumption
Naongelea miaka ya 80.
Hiyo mikate na siagi nadhani ni early 70.
Nilikwenda pale last time 2000 nikakuta yule mwalimu wa Typing Mr Mainoya ndiye Second Master na Mr Luhaga ni mwalimu wa kawaida. wakati Ukuta.
Mwalimu Ramadhani alikuwepo lakini BBall team ilikuwa nyanya kabisa.
Chai saa kumi?
Haikuwepo menu ya wali nyama.
 
Mkuu, unanikumbusha habari ya Mwanalugali, Maili Moja, Picha ya ndege NK.

Bila kusahau weekend tunapanda Zainabu au Scandinavia kuaj SPACE 1900 MBOWE DISCO kwa Chriss Phabby . . . LOL
 
Nilikuwa Kibaha A level nikitokeaa Tosamaganga.
Kwa ulinganifu Chakula pale kibaha kilikuwa Kibaya sana.Not Fit for human consumption
Naongelea miaka ya 80.
Hiyo mikate na siagi nadhani ni early 70.
Nilikwenda pale last time 2000 nikakuta yule mwalimu wa Typing Mr Mainoya ndiye Second Master na Mr Luhaga ni mwalimu wa kawaida. wakati Ukuta.
Mwalimu Ramadhani alikuwepo lakini BBall team ilikuwa nyanya kabisa.
Chai saa kumi?
Haikuwepo menu ya wali nyama.

Mkuu, mimi nilipita pale A-Level 1983-1985 na kulikuwa na Menu hiyo kwa hakika. Hata hivyo few months kabla ya kumaliza kulianza kutokea matatizo ikiwepo chakula.

Nakumbuka mwanafunzi moja alifariki Tumbi Hospital na moja ya sababu ilikuwa lishe duni. Hapo kukawa na mgomo wa kususia chakula na kutoingia darasani kwa siku kadhaa na hata DC apilpokuja hatukumsikiliza.

Baadhi ya tuliokuwa viongozi tulifukuzwa shule na baadaye tukapelekwa mashule mablimbali na kufanya mitihani na hatimaye kujiunga JKT operation OKOA.
 
Jamani hebu nijulisheni Mzee Kazibure yu wapi?Ni kati ya waalimu wa siku nyingi sana pale Kibaha.
 
DU; Kweli mmenikumbusha; juzi nilifika pale kibaha ikabidi niende ktk kanteen ambayo walikuwa wanakula wathotho wa wakubwa tu maana wengine gharama ilikuwa kubwa mno; sasa iko safi; Kibaha mpaka sasa iko juu sana kwa usafi na mazingira yake yako juu; wamejitahidi sana kuienzi ile shule na mwampaja kwa tarifa ndiye sasa yuko shirikani nafikiri nia ni hiyo ya kuendelea kutunza vemahiyo shule. Good kumbu kumbu
 
jamani mmenikumbusha mbali saana,ile thinking tank,
mzee mwaipaja,mama sendi,mzee wa 4by4 by 7,nakumbuka yale machunnwa,nakumbuka ya maembe,nakumbuka kuku wa kienyeji,wa kule mwanalugali,na kumbuka madome yoote kuanzia nyanza mpaka scandia,nakumbuka mashindano ya usafi,na yule jamaa wa michezo alikua anaitwa nani?
 
Now headmaster ni Kayenga alikuwa anafundisha Chemistry A level
 
Vitu ambavyo vinanifanya nikumbuke Kibaha
CHAKULA-katika shule za serikali sijawahi kuona shule wanafunzi wanakula wali mara 4 kwa wiki ,nyama(kuku) mara 2,machungwa, mboga za majani,chai siku ya graduation msosi kuanzia chai ya maziwa ,mikate

USAFU-Mashindano ya usafi yalisaidia watu kutunza mazingira siku ya ukaguzi shule inang'aa jumatatu matokeo ya usafi yanatangazwa

ELIMU-Vijana wanapiga msuli kwelikweli na wanafaulu
Sijui siku hizi haya mambo bado yapo
 
Back
Top Bottom