Mimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania.
Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics.
Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi...
Wasalaam?
Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la...
Habari wanaJF,
Machi 21 inaaminika kuwa ni siku ambayo Jua (The Sun) linapita sawia na mstari wa kubuni wa kijiografia wa Ikweta. Kwa mnasaba wa tukio hilo siku hii huitwa "Siku ya Jua la Utosi"...
Habari wakubwa,
Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa.
Kozi zenyewe ni kama...
Kwa heshima Nawaamkia;
Huyu ni binti amehitimu form 4...
Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo;
Kiswahili C
Kiingereza C
Uraia C
History D
Biology C
Chemistry F...
Wana Jamii naomba msaada,
Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia...
Habari wakuu,
Naomba taarifa kuhusiana na kozi ya bachelor in information systems management inayotolewa ardhi university kuhusu sehemu za ajira ambazo unaweza kuajiriwa pamoja na vitu unavosomea...
Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi
1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university
2.Bachelor of Economics and finance _IFM
3.Bachelor of...
Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari.
Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia...
Habari,
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na hili, kuna dogo hana baba (amefariki) na cheti cha kifo kimekuwa na mzunguko mrefu, hadi muda huu bado hajakipata na siyo rahisi akipate hivi karbu...
Hello JF members,
Nimefanikiwa kuchaguliwa na moja ya vyuo vikubwa hapa nchini kujiunga na mwaka wa masomo 2024/2025 ngazi ya Cheti.
Sasa kwenye account yangu ya maombi katika chuo hicho...
Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa...
Je, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private?
Naomba msaada wakuu
Msaada, hivi naweza maliza mechanical engineering diploma nikaenda soma civil engineering nakuwa nachanganya civil engineering pamoja na mechanical engineering katika kazi uombaji.
Wakuu samahani mdogo wangu kachaguliwa diploma ya radiography chuo cha kikatoliki cha sengerema hii kozi ikoje maana wamechaguliwa 20 tu ni kozi salama au kadandia mtumbwi wa vibwengo, Mwenye...