Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wandugu, naomba niulize kama kutakua na application za vyuo (diploma) kwa tuliokosa cutting point ya 4.0 na inaweza ikawa lini?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
1.Form four results,DIV 3 pt 23 with four credits and the rest are Ds. 2.Teaching certificate with GPA of 3.8 3.2016 Form 6 results DIV 3 pt 16 with GPA 3.5,combi HKL=SCF Kwa hizo sifa zote kwa...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
HIVI NI SAHIHI KUAPPLY DIRECT DEGREE CHUONI KAMA WANAVYOFANYA OPEN UNIVERSITY KWA MWAKA HUU AU NI WEZI??
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Daaaa! Sasa kwa wengine ndoto ya kwenda chuo kikuu imebaki kuwa ndoto kwa hawa wakubwa kuweka hiyo kwamba gpa 3.5 kwenda juu mtu wa diploma na form 6 point 4 kupanda. Jamani kweli tutafika halafu...
9 Reactions
101 Replies
13K Views
naomba ushauri wa faculty ipi ya kusomea ambayo ipo sokoni kwa wakati huu, ,nimesoma mchepuo wa pcm na ufaulu wangu waniruhusu kusoma faculty yoyote inayonihusu,,, msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Wakuu nitajieni apps bomba kwa tecno H6
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Hatimae serikali yafikia kilele cha kuipandisha hadhi SAYANSI NA TEKNOLOJIA baada ya guided book kwa wanafunzi Waliomaliza NA kuhitaji kutumia matokeo ya kidato cha 6 kuingia shule kuonesha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam alaykum wanajukwaa....naomba msaada wa kuelekezwa vigezo vya kujiunga kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti at udsm, gharama na namna ya kupata admission zake.. shukrani sana
1 Reactions
8 Replies
14K Views
Wakuu habari nina kijana wangu nataka kumtafutia chuo cha nje ya nchi ambacho kinatambulika na serikali yetu ili hata akimaliza kusoma asipate tabu kwenye maswala ya kupata ajira...Lakini pia...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Jaman habarini za asubuhi mimi nmehitimi kidato cha 6 mwaka huu 2016 na nimepata division 2 ya point 10 combonation HGL nataka nianze application leo na nimepewa pesa sasa sijui nianzie wapi yani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumain mu wazma, naomba mwenye uelewa na koz hyo anisaidie ufafanuzi zaid nahtaji kujiunga pia
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Kwa anayefahamu hii programme ya bachelor of education and administration UDOM ,inakuwaje yaan unakuwa na Teaching subject(s) anisaidie
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu kwa anaekijua chuo cha mpwapwa vzur atupe maelekezo ya chuo jinsi kilivyo na mazngra yake kiujumla
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Kichwa kinajieleza
1 Reactions
19 Replies
32K Views
Naomba kufahamau kama hizo result slip zimetoka kama bado zitatoka lini na kama ni lazima ziambatanishwe katika kuomba mkopo kwenye fomu ya maombi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bodi ya mikopo Tanzania (HESLB) imetangaza kuanza kupokea maombi rasmi ya mikopo kwa kutoa Guidelines kwa mwaka 2016/2017 hivyo wananchi wote mnaombwa kusoma kwa makini masharti kabla ya kufanya...
8 Reactions
575 Replies
123K Views
Habari zenu wakuu, Mtu aliyesoma Diploma in accountancy anaweza kuchukua mkopo akienda degree?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
http://www.tcu.go.tz/images/documents/Undergraduare_Admission_Guidebook_2016_2017.pdf
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaotarajia ku apply SAUT Mwanza kuweni makini. Kama ni mtoto wa fukara kama mimi usijaribu kuomba SAUT main campus, wapo kimaslai zaidi na hawajali hali ya mtu. Kwa mfano; Kuna huu mchezo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom