Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada. DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Hello, Jina Langu Mr Documentor, Founder and Owner of Mr Documentor Academic Hub. Nitumie Furse hii ya uhai kuwakaribisha wanafunzi wote Tanzania hii na Nje ya Tanzania Ambao wanatarajia kufanya...
1 Reactions
1 Replies
554 Views
Madam Opiyo bingwa wa Chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za Mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Yule mwalimu bingwa wa chemistry madam Opiyo aliyefanya kazi miaka 28 Thaqaafa secondary na kuwapa maendeleo makubwa hatimaye ameacha kazi Thaqaafa secondary. Wakurugenzi wa shule za Mwanza...
2 Reactions
3 Replies
551 Views
Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
3 Reactions
8 Replies
960 Views
Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
1 Reactions
5 Replies
955 Views
Kama umesoma PCB hivi ukichukua bachelor of commerce in accounting ambayo ipo udsm pia o level alipata C ya math na Advance alipata B ya Bam hii course ni nzuri kwake
4 Reactions
5 Replies
440 Views
Shule zote za mjini na vijijini, serikali na binafsi, zenye walimu na zisizo walimu, zenye vifaa vya kufundishia na zisizokuwa na vifaa vya kufundishia zoote zinatungiwa mtihani mmoja wa taifa...
2 Reactions
9 Replies
522 Views
Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
1 Reactions
17 Replies
794 Views
Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
4 Reactions
14 Replies
872 Views
Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii Civil eng-udsm Electrical eng-udsm Pharmacy-mumbl Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye...
3 Reactions
106 Replies
11K Views
Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila...
2 Reactions
19 Replies
935 Views
Ipi ni course bora kati ya information system na information technology ili niweze kuconfirm course ndio nataka kuanza chuo mwaka wa kwanza
1 Reactions
7 Replies
632 Views
Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Kwema? Niende kwenye mada. Mimi kazi yangu nalipwa mshahara laki tatu 300k nipo DSM lengo la kuandika juu Uzi nataka nikasomee hiyo kozi hapo juu kuendesha mitambo ya bandari. Nimepata chuo kipo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajamvi: Binafsi ni msomaji wa vitabu mbalimbali vya maudhui ya jumla (general knowledge), lakini bado naamini kuna vitabu vizuri na watunzi wazuri ambao sijapata kusoma vitabu vyao. Kwa...
11 Reactions
620 Replies
99K Views
Habari wakuu, Msaada juu ya Associate of Science Degree in Business Administration.
1 Reactions
7 Replies
489 Views
Wakuu habari zenu, Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million. Asanteni...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom