NATAFUTA KAZI KUDUMU AU MKATABA...

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Mimi Ni kijana wakkitanzania muhitimu wa shahada ya kwa ya Elimu katika Sera, mipango Na utawala.

Nafundisha Geography Na Economics II.

Pia kwa primary nafundisha Geography, Civics Na ICT.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja kufundisha.

Niko tayr kufanya kazi kokote Tanzania au nje ya Tanzania

Kwamsaada au interested tuwasiliane kwa namba ifuatayo

0715476787.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom