HSM

HSM

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
4,774
Reaction score
5,314
Jaman HSM hii ni program nimeiona mzumbe university morogoro kwa wasiyo ijua kwa kirefu ni bachelor degree in health system management na ni miaka 3 tu nashindwa kuelewa kma program ya udokta mbona inamda mfup compare na izo zingine kma MD na zinginezo kwa yoyote mwenye kuelewa hii program tafadhal funguka hapo chin kwa maelezo marefu zaid ili nipate kuelewa kma ni udokta au nikitu gan
 
Siyo program ya udokta hiyo mzee, Bali ni program inayohusika na mifumo ya taarifa za kwenye huduma za afya . Ukiongelea udokta ni kati ya hizi kozi ; Doctor of Medicine (MD), Bachelor of Medicine & Bachelor of Surgery (MBBS/MBChB/MBBCh) ,Doctor of Dental Surgery (DDS). Na zinachukua muda wa miaka 5 kuhitimu.
 
Taarifa kivip unamaana kma wale afisa afya ama
 
Siyo Afisa Afya ,kuna wanaoshugulika na Health Information Management System(HIMS) ama inajulikana kama MTUHA
Xo hawa watu wa HSM wao kat yao haswa n nini yan
 
Makatibu afya kozi inaitwa health system management ....wanafanya kazi na mahospital chini ya mganga mkuu wa hospital au we wilaya.....shughuli zao ni kufuatilia taarifa za wafanyakazi mf ajira mpya kuwapangia vituo au kupeleka taarifa za wanaopanda vyeo nk. ...
 
Hawa hupata elimu na skills za jinsi ya kupangilia, kuendesha na kutafiti mifumo ya huduma za sector ya afya. Hujifunza mifumo ya umma na ile ya private. Wakati madakitari hutokana na combi za science zenye biology hawa basically ni social scientists.
 
Kozi nzuri sana hii.Vipi maslahi yake?Kuna postgraduate programme yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom